Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

hahahahahahaha, natamani na mie nione jibaba likiwa halina boksa linafanya mazoezi kama alivyoona Mzigua90 hahahahah
Ha ha haaa! wewe si utamchukua na picha kabisa!

Kama unatamani njoo hapo Gana mida ya jioni kuna sehemu ya kufanyia mazoezi/gym ujinee lakini picha hautaruhusiwa!
 
Siku hizi imezuka tabia wanaume waliojaaliwa down there kuvaa nguo zinazochora mikia yao na kutembea barabarani. Sijajua lengo lao hasa ni nini kutembea mkia unaning'inia na kuruka ruka. Asubuhi nimekutana na mkaka hadi nikaona aibu kwa niaba yake. Kitu kimejichora jamani na hana hata wasiwasi anafanya zake mazoezi.

Umeona mara ngapi mpaka kufikia conclusion hiyo?
 
Back
Top Bottom