Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

Siku hizi imezuka tabia wanaume waliojaaliwa down there kuvaa nguo zinazochora mikia yao na kutembea barabarani. Sijajua lengo lao hasa ni nini kutembea mkia unaning'inia na kuruka ruka. Asubuhi nimekutana na mkaka hadi nikaona aibu kwa niaba yake. Kitu kimejichora jamani na hana hata wasiwasi anafanya zake mazoezi.

Ahsante sana kwa kulileta hili, sasa tambua ni namna gani wanaume wanao jielewa wanavyoona aibu kwa niaba ya wanadada mnaotembea watupu huku barabarani
 
Mkuu, ebu weka picha ili nawengine tuelewe.... Maana hivi vituko vya wanaume huko Daslam vimezidi wallah...
 
Back
Top Bottom