Wanaume Tafuteni pesa, ukiwa na pesa utaitwa babes hata uwe na miaka 90

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Rod Stewart akiwa na mke wake Penny Lancaster, walikua wanahudhuria harusi ya mtoto wa Rod na mke wake wa awali Rachael Hunter.

Pamoja na pesa zote lakini Penny ameshindwa kununua decent dress for the wedding.
 
So wanaume watafute pesa kwa ajili ya kuitwa babies na wanawake?
Kwani mwanaume hawezi kutafuta pesa kwa ajili yake mwenyewe.
 
Muhimu kila kiumbe kipende lesa kulimo mpenzi wake
 
Natafuta pesa kukidhi zaidi mahitaji yangu na ya familia yangu, kuitwa babes kisa pesa huo unafiki siuhitaji kabisa kwako makutupora
Ni uzwazwa, kutafuta hela ili kuitwa baby!

Natafuta hela handle mahitaji yangu.
Natafuta hela ili kukamilisha Malengo na maono
Natafuta hela ili kuwasaidia wazazi na wahitaji
 
View attachment 3266652
Rod Stewart akiwa na mke wake Penny Lancaster, walikua wanahudhuria harusi ya mtoto wa Rod na mke wake wa awali Rachael Hunter.

Pamoja na pesa zote lakini Penny ameshindwa kununua decent dress for the wedding.
Katika mambo yote umeina kuitwa babe ni muhimu zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…