Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

point.
 
elly2p,anzia hapo kwenye wahenga.Badala ya neno wahenga weka majina ya ndugu zako wa jinsia ya kike wakubwa kwa wadogo uone inavyosound masikioni mwako ndio utakapojua kuwa hujui.
 
Bongo njaa kali sana, wanawake wenye vipato vya kueleweka ni wachache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa mkuu hiyo Hali ya kawaida kwa Dada/mama zetu ..wengi wanaishi kwa kuwategemea wanaume. Ila kitu nimejifunza ni Bora wabaki hivyo aise. Mwanamke akipata pesa wanakuwa wakorofi Sana Mimi nashuhudia huku nilipo jinsi wanawake wenye vipato vikubwa ni wengi Sana na wengi hawajaolewa. Ila akikuelewa utakula maisha. Sema ndo hivyo wengine tumekuja kusakanya pesa hivyo tunawatumia kwa mishe za faida tu sex no[emoji4].
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vizinga mbona hata watoto wetu wa kuzaa wanatupiga sana tu. Binti yuko chuo atapiga simu, baba shikamoo. Nimekumiss sana dady. Mwisho utasikia dady nimeishiwa hela ya matumizi na simu inazimazima. Naomba kama laki tano hivi.

Kumbe ana boyfriend anataka ampe ili akampe girlfriend wake.

Afadhali ya vizinga direct kuliko hivyo indirect.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
we boya nakusema kwa Moderator akupige hata ban ya wiki kadhaa daah!
 
Kmmk [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…