Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

Magoli mawili ya chapu chapu kama hujajipanga vizuri na huna munkari na demu yanaweza kukufanya ukaishiwa nguvu mapema [emoji16][emoji16][emoji16]

Comments za uzi huu basi tu. Nilikuwa na kihuzuni huzuni kimeisha sababu ya kucheka. Hujambo lakini?
😂😂😂 Ila kweli sijui alopitia mlolongo ila ana vituko sana
 
Wengi waliojichokea hata kuzaa hawajazaa, unakuta ni milage tu zimetembea. Waliozaa inaeleweka.
Sasa hapa ni waliozaa how can you blame someone aliyezaa kwa operation aisee, hata kuzaa kawaida tu mwili huchakaa Sasa kila mtu asipozaa kutakuwa na watu kweli ili wawe tu wanazini, au walipieni wake zenu hela wakafanye liposuction na kubana k zao na kuweka hzo silicon loh
 
Wakuu

Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima
Hasara ni nyingi tuone..
Uhauri wako ni mzuri. Ngoja tujaribu kuufanyia kazi, ingawa siyo jambo jepesi kufikia hayo maamuzi.
 
Back
Top Bottom