Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

Makundi manne , yenye malengo tofauti na mtazamo unaofanana Kwa mbaliiii!
Mabinti wanahitaji pesa Ili kukidhi mahitaji!
Vijana wa kiume - wanahitaji mapenzi- pesa hazitoshi!
Baada ya utafutaji wa muda mrefu-wazee Sasa wanapesa - wanahitaji mapenzi motomoto, na burudani, ili kuzilipa nafsi zao
Wamama watu wazima- wengi mvuto umepungua- wanamajukumu makubwa-;yanahitaji pesa nyingi!
Hata kwenye maisha ya kawaida- ukiwa na Hela Yako ukaenda sokoni- au super market , mara nyingi tunanunua fresh products!
Huwezi nunua nyanya za juzi ukaacha za Leo!
Acheni wazee tuponde Mali!-wengi tulijima ujani Ili tufaidi uzeeni!
 
Teseka ujanani ili uinjoy uzeeni🤣 ila wahuni tunainjoy kuanzia ujanani hadi uzeeni. Hatuna kazi chafu 😀😀😀
 
Anakudanganya tu lzm aliwe tu na wahuni Ila sio mbaya c umeshakula mara kibao mzee, acha iende hyo ,[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…