Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

Nimecheka na nacheka sana kwa comment za wachangiaji, kama Kuna jamaa kasema demu wake wa zamani kwa sasa ni mke wa mtu, juzi kati kalala nae geto kwake kajikunja kamchapa bao mbili akajua mchezo umeisha.....lahaulaaaaa mwanamke anamaambia yaani hapa ndio umeamsha nuegge zangu njoo unikune sasa [emoji38][emoji38] jamaa kaona eenh! hii siiwezi kwakuwa sio kama zamani kabla hajaolewa maana hakuwa hivo.

Nimecheka balaaa
Mkuu mm mwenyewe kanifrahisha ...
 
Wakuu

Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima
Hasara ni nyingi tuone..


Mwisho wazee achieni mabinti vijana waoe. Ndio maana Extrovert hataki kuoa.
Wewe kama umeshazeeka waache vijana wazichakate
 
Wakuu

Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima
Hasara ni nyingi tuone..

1: Utageuzwa kitega uchumi ama mpesa.
Vibinti vingi hasa vya shule na chuo, huwa vina mambo mengi, utasikia "nitumie 30 nikatoe copy ya notes, ama simu yangu ipo kwa fundi amesema ni 50k." "mtungi umeisha gesi" " Ukiwa na mdada mtu mzima hafanyi hivi, kwanza anaona aibu kusema haya, atakuomba hela kwa njia nyingine.

2:Heshima inashuka..
Pili ni heshima yako inashuka baada ya kumnyandua binti huyo, kwani anakuona kama kijana mwenzake. Imagine binti wa 23 yrs anamwambia mzee wa miaka 70 assume ni baba yako. "hujakua wewe nakuacha" hapo mzee wa watu anapiga goti kisa tu mnato binti.. Na ukute mzee wa watu ndo una kibamia ndio utajuta yaani. Tutulie na wake zetu wakuu ama kunywa k vant aka kifutio kama una stress..

3:Kifo nje nje...
Pia kifo kinakuwa nje nje yaani, Izraili anakuwa kashashika kalamu anasubiri tu kupiga sign urudishe namba.. Vitoto hivi huwa vina style za laana wakati wa kufiringana. Mara "idondokee" mzee wa watu hujakaa vizuri mara kamekupa "nimekususia yote" kanakuja kukumalizia na sijui "covid 19" Nini hapo kama si mzee watu uteme nyongo na maini? Tabu yote ya nini mzee mwenzangu? Mkeo anakupa kistaarabu kabisa wala hazijui hizo "doggy style" ..punguza usije dedi ujaacha urithi..

Mwisho wazee achieni mabinti vijana waoe. Ndio maana Extrovert hataki kuoa.
Mkuu acha woga mizinga ya vibinti vya chuo mbona kawaida sanaaa mtoto wa chuo 30k kwake mbona kubwa kabisaaa mm ukiniwekea mdada mtu mzima anaejitegemea kimaisha na mwanafunzi wa chuo nachukua mwanafunzi kwanza milage inakuwa haijasoma parefu sanaaa
 
Back
Top Bottom