Asilimia kubwa wana upeo mdogo wa kufikiri, wanawaza sana short term gains na sio long term gains.
Ngoja narudi.
Naposema makosa yetu, namaanisha tunafanya wrong vetting.
Wengi wanaolalamika humu , ukiwafatilia, waliwapenda wanawake sana alafu mwanamke anakuonyesha dalili za kukukataa we unapuuzia, au unaona kabisa mwanamke huyu ni muhuni ila wewe unakomaa tu unataka uchukue jukumu la kubadilisha tabia zake, at the end unashindwa unaanza kulia ndoa ni Utapeli.
So ukikosea mwanzoni kabisa, unakuta demu anakukubalia kisa tu una financial security ila hakupendi kabisa, at the end of the day unasalitiwa .
Tuje kwa wale wanaopendwa na wake zao, labda anapendwa kwasababu ya personality yake ila Hana maokoto ya kutosha, sasa mwanamke akipata mwanaume ambaye ni bora kukuzidi financially, anaenda naye na anampa basic needs, hii ilimkuta mwana mmoja hivi.
Au unakuta mwanamke anakupenda kwasababu ya personality yako na pesa yako ila yeye kashazoea kupigwa machine muda mrefu huko nyuma, we ukayumba labda kwasababu ya lishe na kutofanya mazoezi, at the end anakuchoka anaanza kukucheat kimyakimya , akinogewa anakuacha kabisa ama unakuta pesa zako mwanaume mwingine anazifaidi, kwasababu Gani? Ukishindwa kusimama kama mwanaume na kusolve tatizo lako.
Wanawake hawanaga huruma kabisa,wao kukusaliti ni dakika sifuri kama ukishindwa kuishi kama mwanaume. Mwanaume lazima uwe vizuri Kila sehemu ila pia ufanye vetting kwa usahihi, hapo hutateseka na mahusiano.