Wanaume tuache ubahili tuwatunze wapenzi wetu

Wanaume tuache ubahili tuwatunze wapenzi wetu

Mtu hajawahi hata kutuma vocha ya 500,txt unajibu hajui vocha unaipata wapi,hajui tumizi lako lolote zaidi ya kulipa guest anapokuwa na shida zake,tena hakusindikizi wala kukupa nauli halafu nayeye anajidai mwanaume.Na mimi miguu yangu nabana ukiona vp pita hivi

Safi kabisa jitu alion ata aibu alalipa lodge 50000 mchumba ambae ni muhusika Mkuu anampa 10000.
 
waambie hao mana kuhudmia wanaona wanachunwa. mwansmke matunzo co kumwaga nanih tu af hata hela ya sabumn hutoi.
 
Wajinga kweli...kwenye papuchi ka wa moto wametiwa ndimu kuhudumia mgogoro....kisingizio wanawake wa siku hizi wana mabwana kila kona....what a stupid excuse..unajua nina mabwana kila kona na bado unaendelea kuwa na mimi????

Ili kuendelea kufaidi kula mzigo
 
10% ya mshahara unatoa zaka au kusaidia maskini siyo unampatia hawara yako Jembemtaji


Nyambaaaaaaff!!
 
Last edited by a moderator:
Huo ni mtizamo wako na ngumu kumeza,Wanawake wana matumizi makubwa sana kuliko unavyodhania.Kumhudumia mwanamke ambaye hujafunga naye ndoa ni sawa na kucheza kamari.
 
Kwanza nianze kwa kukiri kuwa maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua.

Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kunakuwa na tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi wanaume wanakuwa na hali mzuri kimapato kuliko mwanamke.

Nieleweke vizuri kuwa simaanishi kuwa wanawake wote wana kipato duni la hasha.

Ningependa kuwashauri wale wenye wapenzi wa kike mambo haya yafuatayo:-

1 Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia, unapokuwa na mpenzi ujue ni jukumu lako kumpendezesha anapopendeza watu watajua wewe ndio kidume uliemwezesha.

2 .Sio mpaka akuombe ndio umpe. jaribu kumfaamu hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake.

3.Usiulize ya nini,ikitokea mpenzi amekuomba HELA usiulize ya nini ye ni MTU mzima awezi kukuomba HELA akaenda kuchambia.

4. Kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe.
Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya nyota 5 kustarehe akitumia zaidi ya laki tano.Cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwacha mpenzi wake 10000 ya nauli.

Huu ni ujinga bora ungeenda ata lodge ya nafuu yeye ukamwacha na HELA ya kutosha.

5.Tenga ata 10% ya mshahara MPE yeye aangalie kama kuna kitu cha kurekebisha arekebishe.

NB.
APA ni kwa wale Wanaume wanaowazidi kipato wanawake wao sio wanawake wenye vipato vizur.

Tusiwe wataalam wakutafuta Gspot wakati ukiombwa ata 1000 unanuna mapenzi ni pamoja na kupunguzia makali ya maisha.

Yeyote mwenye chochote anaweza kuongezea apo.
Chai
 
Kuhudumia ni subset ya kuchunwa...
Anayehudumia na anayechunwa, tofauti zao ni nini?

Mke ndiyo anayestahili yote haya...

Ni miaka 11 sasa... Bado una hudumia?
 
Back
Top Bottom