Wanaume tuache ubahili tuwatunze wapenzi wetu

Wanaume tuache ubahili tuwatunze wapenzi wetu

Acheni mawazo ya kizamani nyinyi watoto kike jifunzeni kutafuta fedha zenu wenyewe mtakuwa huru Na mtaheshimiwa.ukimtegemea mwanaume kwa kila kitu siku ya mwisho utaishia kujiuza Tu.nampongeza sana x mama watoto she is really a fighter my son has a mother for sure.
 
sasa mbona na wewe unakuwa bahili?halafu kazi kusingizia wenzako tu

Hakuna cha ubahili hapo ngoma droo hutoi hela kaheme mbele papuchi utaisikia kwenye bomba au utachora chini ubandue yaan.usigharamie nije nijitanue tu uingie hahha nan kasema mwnye kisu kikali ndo atakula nyama
 
Hakuna cha ubahili hapo ngoma droo hutoi hela kaheme mbele papuchi utaisikia kwenye bomba au utachora chini ubandue yaan.usigharamie nije nijitanue tu uingie hahha nan kasema mwnye kisu kikali ndo atakula nyama

Nimekukubal eti simtunzi mtu ambaye sijamuoa alafu unamuomba mtoke.

Uko mnakoenda anavaa nn?
 
wanaume wa siku hizi wanavyopenda kulelewa! sidhani kama wamekuelewa.
 
ni ujinga tuu wanaojazana...halafu hapo akimuona wa mwenzie anayetunzwa anaanza kudondosha miudenda...Kila kingaracho kinagharamiwa..

Pili kama humtunzi mkeo au mpenzi wako usilie lie utakapo mfuma ametumiwa hela na mwanaume katika Tigo pesa, Airtel mone au MPESA...kaa kimyaaaa
au kila siku unamuona mpenz wako anapendeza wakat hujawahi mnunulia hata kabikini!!! wanapenda kutunziwa hawa. sometimes wao ndio wanachangia wapenz wao wawe na michepuko ya kuwahudumia kipesa.
 
OLESAIDIMU

Mi nakuambia....kuna wanaume wabahili acha kabisa...speaking from experience hawafai kwa supu wala mshikaki

hahahahahahaha!!! halafu wabahili ndo wanaongoza kwa kuomba mechi kila weekend! lol
 
Last edited by a moderator:
Kuonga kunaumiza kichwa kwani umuongaye anaweza asiridhike. Hivyo dawa kuwa bahili kiasi.
 
Nimekukubal eti simtunzi mtu ambaye sijamuoa alafu unamuomba mtoke.

Atavaa magunia labda ahha
Uko mnakoenda anavaa nn?

Eti unakuta mtu hamgharamii mpenzie had aoe asee kwangu mim hiyo n.dalili tosha una ubahili bas kama hugharamii usiombe papuchi had ndoa kuna watu wa ajabu asee
 
hakuna cha ubahili hapo ngoma droo hutoi hela kaheme mbele papuchi utaisikia kwenye bomba au utachora chini ubandue yaan.usigharamie nije nijitanue tu uingie hahha nan kasema mwnye kisu kikali ndo atakula nyama

mkopo tu,hamna cha nini wala nini
 
Ni ukweli mtupu ingawa watu watanuna mpaka kutoa mapovu huku...lakini huo ndio ukweli
 
Mtu hajawahi hata kutuma vocha ya 500,txt unajibu hajui vocha unaipata wapi,hajui tumizi lako lolote zaidi ya kulipa guest anapokuwa na shida zake,tena hakusindikizi wala kukupa nauli halafu nayeye anajidai mwanaume.Na mimi miguu yangu nabana ukiona vp pita hivi
 
Back
Top Bottom