Wanaume tuache ubahili tuwatunze wapenzi wetu

Jembemtaji
jembemtaji nimekupenda bureee gf wako asinielewe vibaya. dah mwanaume wa ukweli utamjua tu.ni hayo tu.
 
Last edited by a moderator:
Nimekupenda bure mtoa mada loh. Naomba urafiki nawee jamani

Ahsante umepata! Ujue kuna wachache watajirekebisha.
ujue kuna wanaume kama ujawaomba unaweza kuishi nao ata miaka 10 hawakupi chochote.
 
Nawambia sasa hao mnaowaita wapenzi/mahawala wanarudisha nyuma sana maendeleo mimi nimejitambua wanahitaji kuhudumiwa zaidi ya mke. utasikia anasema hajafuata pesa kwako lkn mizinga mpaka sheeeeda
 
nchi lazma iendelee kimapenzi kukiwa na wanaume wenye SMART THINKING kama wewe!!!yani wew xo man tu but ni GENTLE MAN

Ukweli ndio huo anayekubali akubali, na asiye taka basi.
Watu wanajichetua makusudi wamenielewa.

Eti unamtoa mpz out mpaka bagamoyo, unatumia zaid ya 500000.

Baada ya unamsindikiza mpz wako na gar mpaka jiran na kwao.
Unamuacha ata mia haumpi, na yeye anashindwa kukuomba anajua umetumia HELA nyingi mlikotokea.

Kwangu mm haina faida bora ukae bar ya kawaida umpe yy 200000 atakuomba kitu ata mwezi utaisha.
 
Anzisha SACCOS au VICOBA naona wanachama wapo kibao!!!
 
jembemtaji nimekupenda bureee gf wako asinielewe vibaya. dah mwanaume wa ukweli utamjua tu.ni hayo tu.

Ahsanteeee ubarikiwe kama umeelewa mada yangu.

Yaan kuna watu hawapendi ukweli kabisaa, hawajui ingewasaidia kuishi vizur na wapenz wao.

Tupo pa1 ata uki PM tutaendelea kubadilishana mawazo.
 
We kapuku wemwenyewe hauwez kujihudumia utamtunza mwenzio?

Hah ha haaaaa mi nweza kukutunza wewe tu iwe mfano kwa wenzio unaowatetea!!!!!
Kama kweli unamaanisha ulichoandika na unaamini inawezekana kubali hapa jamvini nikutunze wanaume wenzangu wataiga kwangu na wanawake wenzako watakuwa wamekomboka!!!!

Acha maneno tufanye kazi sasa!!!
 
Wanawake wako WA 1500 pale uwanja WA fisi wapenzi hauwawezi tuachie sisi.
Na haujaelewa mada umekurupuka kuchangia.

APA tunazungumzia watu wenye kipato sio nyie waganga njaaaa!.
 
Kipato my foot!!!!
We jitoe muhanga watu wapate definition ya "mwanamke anayetunzwa" acha blah blah mtoto wa kike unalalamikia kutunzwa njoo utunzwe unaleta mambo ya umoja wenu uwanja wa fisi na bei juu, hayo si ndio yamekuchosha sasa unataka "nest" njoo mamii
 
Kila mwanaume na life style yake, linapokuja swala la mpenzi yeye mwenyewe anajua/atajua namna ya kuendesha maisha hayo, si lazima afanane na mwingine
 
Wise na mwanamke atakaa au kuondoka kutegemea anachotaka!!!
 
Wangekuwa wanatulia ujue ni chombo chako sawa.mara utasikia jana alikuwa na fulani.huo moyo wa kumhudumia ki hivyo unatoka wapi.wengi vicheche na hawana msimamo.
 
Ukweli ndio huo anayekubali akubali, na asiye taka basi.
Watu wanajichetua makusudi wamenielewa.

Eti unamtoa mpz out mpaka bagamoyo, unatumia zaid ya 500000.

Baada ya unamsindikiza mpz wako na gar mpaka jiran na kwao.
Unamuacha ata mia haumpi, na yeye anashindwa kukuomba anajua umetumia HELA nyingi mlikotokea.

Kwangu mm haina faida bora ukae bar ya kawaida umpe yy 200000 atakuomba kitu ata mwezi utaisha.

Ndugu ww acha kuna wanaume wa ajabu loh! Mimi kuna mtu nina uhusiano nae tuna mwaka sijawahi kuomba hata shilingi kwake wala hajawahi kunipa kwa hiyari, maana sina mazoea hayo kabisa ya kuomba lakini vituko vyake nimebaki hoi,siku moja tumetoka hata chakula haku nunua mpaka naondoka,hapo ndio nilichoka,msukuma mbahili huyu sijawahi ona.
 
Ukiwaambia ukwel wanatukana.

Wanapaswa kujiuliza wao kwa mwezi wanatumia kiasi gan.

Kinawashinda nini kutoa ata robo ya matumiz yko kwa mpz.
 
Mwanamke ni yule aliye kwenye ndoa. Tofauti na hapo ni nung'ayembe. Hudumia mkeo sio mlupo!
 
Back
Top Bottom