Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,545
Kama unaemhudumia ni mke tu OK in case umeoa. let's say una mpenzi wako hujamuoa ina maana kumhudumia mpaka akuombe?
yap.kufilisiana ya kazi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaemhudumia ni mke tu OK in case umeoa. let's say una mpenzi wako hujamuoa ina maana kumhudumia mpaka akuombe?
yap.kufilisiana ya kazi gani?
Nilijua tu watu povu litawatoka..mna nini enyi wanaume? Eti siwezi kumhudumia wakati sijamuoa.....mbona papuchi ukinyimwa unanuna ? Kwani mkeo huyo? We kunihudumia kama mke utata ila wewe unataka uwe treated kama mume.....msiwe selfish kiasi hicho loh
kama papuchi yako dili ifungie ndani
Hela mnataka
Msipofikishwa mnalalama
Ku cheat mna cheat
kweli hamueleweki kama mbunye mkiinama ipo nyuma mkisimama ipo mbele
Eid el haj
Tatizo wanaume siku hi I wengi ni wachoyo hawaijui thaman ya mwanamke they are so selfish wanajifikiria wao tu ila saa ya kugonga mzigo wanakuwa kama walishapata hati miliki siwapendi kama nn wanaopenda kutia watoto Wa wenzao kuwahudumia hawawezi.
Hawa wanaume wabahili ndo wanaofundisha wanawake zao kuchepuka kwa sbb uko na lidume linataka kuuza sura na Wewe dunia nzima halijui saloon unaendaje Nguo unazovaa umenunua bei gan halijui hata kununua perfyum halijui hata mafuta kwenye gar unatumia ya sh ngapi linachojua tu ni ...babe nakumiss tukutane somewhere saa fulan....kitokeo cha hapo eti anakupa elf 10 . very stupid....si bora tu niiache ichache kama inachacha
Nilijua tu watu povu litawatoka..mna nini enyi wanaume? Eti siwezi kumhudumia wakati sijamuoa.....mbona papuchi ukinyimwa unanuna ? Kwani mkeo huyo? We kunihudumia kama mke utata ila wewe unataka uwe treated kama mume.....msiwe selfish kiasi hicho loh
mkuu umemaliza,huyu atakuwa anawashwa na vijisenti baada ya kuuza pamba,hivi lile jembe langu nani nani cjuil likowapi lisafishe account za huyu mtu.siku moja tu milioni mbili tuone kama anaweza hudumia
Watu wafikiri kwa kutumia makalio! yaani nitenge 10% kwa ajili ya mtu ambaye sijamuoa!! ninyi ndio mnawaharibu mabinti wa sasa na kuwafanya watangulize pesa mbele.
Yaani mshahara wangu nishindwe kufanya biashara au kusaidia kwetu eti nimsaidie hawala! kweli watanzania tuna safari ndefu kufikia kitu tunachoita maendeleo.
Nimekumbuka msemo mmoja kwenye biblia unasema "Amwajilie mpumbavu ni sawa kuajili wapita njia".
Nahisi mleta mada amepata mpenzi kwa mara ya kwanza katika maisha yake.....baada ya miaka mingi ya kupiga punyeto hatimaye amepata pa kumwagilia mbegu zake...
Hahahahaa huna lolote ubahiri tu
Kwani nyinyi huwa mzimiss dushe zetu?
Kumpa pesa mpenzi ili kumhudumia kama mke? Hivi wanawake unawajua au unawauliza? Hudumieni, yangu macho.
^^
Kibra.Nimekupenda bure mtoa mada loh. Naomba urafiki nawee jamani