OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Financial discipline????? Kuna vitu ambavyo sio lazima tukae mkutano kujadili eg matumizi ya kawaida ya kike ya kila siku hapo ni kujiongeza tu ebwanaeee dem wangu atajitaj 1..2..3...etc mpatie pesa atajua mwenyewe atakavyoitumia hata papuchi kuipata ni mteremko unakuta mwanaume bahili kama nn sijui lkn mashart kama mganga Wa kienyeji....lol
Sasa hapo perspectives zingoma, hayo matumizi kabla yangu ulikuwa unayatoa wapi mpaka sasa iwe nongwa???!!!
Hivi kusema " perfumes zangu karibia zinaisha" inakugharimu nini???!!!!
Kuna pazia nimeziona nahitaji kujipanga nikanunue;how much? ?; 200: Lini unataka ukanunue; Nina 100 cash nikipata nyingine anytime ntaenda; nikumbushe j'mosi jioni; Ok
Hapo unapungukiwa nini???!!!!
Maisha ya kujiongeza haya ukitaka uwe kama mtoto wa lactogen 1 jiandae kuwa "wa mapito" !!!!
Siku za mwanzo utapewa tu lakini ukweli kila mtu ke kwa me anapenda mtu strategic awe long lasting partner!!!!