Wanaume tuache ubahili tuwatunze wapenzi wetu

Tatizo wanaume siku hi I wengi ni wachoyo hawaijui thaman ya mwanamke they are so selfish wanajifikiria wao tu ila saa ya kugonga mzigo wanakuwa kama walishapata hati miliki siwapendi kama nn wanaopenda kutia watoto Wa wenzao kuwahudumia hawawezi.

Wajinga kweli...kwenye papuchi ka wa moto wametiwa ndimu kuhudumia mgogoro....kisingizio wanawake wa siku hizi wana mabwana kila kona....what a stupid excuse..unajua nina mabwana kila kona na bado unaendelea kuwa na mimi????
 
Hapo ndipo point yako iliposimamia

Point haija simam hapo,mkuu

I.mean, kama mwanamke wako akiw mwamnifu na heshima, mwanaume lazma utajikuta unatake responsibility
........otherwise forget t.
 
Hawa wanaume wabahili ndo wanaofundisha wanawake zao kuchepuka kwa sbb uko na lidume linataka kuuza sura na Wewe dunia nzima halijui saloon unaendaje Nguo unazovaa umenunua bei gan halijui hata kununua perfyum halijui hata mafuta kwenye gar unatumia ya sh ngapi linachojua tu ni ...babe nakumiss tukutane somewhere saa fulan....kitokeo cha hapo eti anakupa elf 10 . very stupid....si bora tu niiache ichache kama inachacha
 
MO11

Umesahau wakichuchumaa ipo chiniii...haha..eti funga mnara
 
Last edited by a moderator:
Wajinga kweli...kwenye papuchi ka wa moto wametiwa ndimu kuhudumia mgogoro....kisingizio wanawake wa siku hizi wana mabwana kila kona....what a stupid excuse..unajua nina mabwana kila kona na bado unaendelea kuwa na mimi????

Those are selfish excuses na yanavyopendaga wanawake wazuri hovyooooo nan kakwambia mi nataka mapenzi mi form two? Pumbafuuu potea!
 
Point haija simam hapo,mkuu

I.mean, kama mwanamke wako akiw mwamnifu na heshima, mwanaume lazma utajikuta unatake responsibility
........otherwise forget t.

Hata hapa sidhani kama kuna mtu amesema uhudumie changudoa...anamaanisha mpenzi....hivi mtu unaweza kujua kuwa mpenz wako si mwaminifu na bado ukaendelea nae? Si achana nae kama humuamini kuliko kubaki unaleta visingizio ambavyo unahisihisi tu huna uhakika navyo
 
Kama unaemhudumia ni mke tu OK in case umeoa. let's say una mpenzi wako hujamuoa ina maana kumhudumia mpaka akuombe?

Sio suala la kuomba ni financial discipline na ustaarabu tu kukaa na kupanga mambo yenu kwa pamoja, na hapo ndio huwa mnakosea sana!!!!!
Na walioweza hilo tu basi wanakuwa wamefaulu pakubwa sana!!!
 
Angalia sana mkuu,Usije hudumia mwanaume mwenzio kupitia yeye,penzi kipofu unae muona halion.
 
Hata hapa sidhani kama kuna mtu amesema uhudumie changudoa...anamaanisha mpenzi....hivi mtu unaweza kujua kuwa mpenz wako si mwaminifu na bado ukaendelea nae? Si achana nae kama humuamini kuliko kubaki unaleta visingizio ambavyo unahisihisi tu huna uhakika navyo

Wew upo dunia gani!! Wote wanaokuja kulia humu Jf wanalia kwa sababu za machungudoa??? Fumbua jicho la tatu
 
Sio suala la kuomba ni financial discipline na ustaarabu tu kukaa na kupanga mambo yenu kwa pamoja, na hapo ndio huwa mnakosea sana!!!!!
Na walioweza hilo tu basi wanakuwa wamefaulu pakubwa sana!!!

Financial discipline????? Kuna vitu ambavyo sio lazima tukae mkutano kujadili eg matumizi ya kawaida ya kike ya kila siku hapo ni kujiongeza tu ebwanaeee dem wangu atajitaj 1..2..3...etc mpatie pesa atajua mwenyewe atakavyoitumia hata papuchi kuipata ni mteremko unakuta mwanaume bahili kama nn sijui lkn mashart kama mganga Wa kienyeji....lol
 
May be nimetumia neno kubwa sana....namaanisha mtu kama unaona ana wapenzi wengi kwa nini uendelee kuwa nae na unamuita mpenzi wako?
 
Financial discipline kumpa mpenz ila kunywa pombe na kwenda club kila weekend its okey
 
May be nimetumia neno kubwa sana....namaanisha mtu kama unaona ana wapenzi wengi kwa nini uendelee kuwa nae na unamuita mpenzi wako?

Mkuu, ukiw na demu kama huyo unachofanya si kumwacha bali ni kubadilisha malengo yako kwake, huku unangalia nan anafaa kuchukua nafasi yake, ukipata aliekuw tofaut na huyo ndo unatulia nae, ndo upige chini.
 
Financial discipline????? Kuna vitu ambavyo sio lazima tukae mkutano kujadili eg matumizi ya kawaida ya kike ya kila siku hapo ni kujiongeza tu ebwanaeee dem wangu atajitaj 1..2..3...etc mpatie pesa atajua mwenyewe atakavyoitumia hata papuchi kuipata ni mteremko unakuta mwanaume bahili kama nn sijui lkn mashart kama mganga Wa kienyeji....lol

Wanachekesha kweli....wanaume wa namna hiyo hata akijikakamua siku akupe vihela kinakuwa kisemeo...utasimangwa na hicho kihela kila ukimkosea ndio maana mimi huwa nasema financial independence kwa sie wanawake ni ya muhimu sana.... Nina dhiki ndio lakini ujinga wa kunyanyaswa kisa kihela cha mtu sitaki hata
 
Back
Top Bottom