Wanaume tuache ubahili tuwatunze wapenzi wetu

Wanawake ni wapuuzi yaani majinga sana ....yanawaza kutuzwa Wao tu lakini Wao hawajali kitunza mwanaume yaani kama kuna demu akiniomba pesa nikimwambia Sina anachukia sana lakini ukimpa hapo mtataniana sana....I hate ladies sana yaa ni mijinga inawazaga kutunza tu kwani umezaliwa Ili utunzwe
...acheni upimbi fight for yours na sio cha mwanaume
Bora 50-50 ije tu ...tumechoka mijinga jinga
 
Hapa hata huitaji kutuambia eti wanaume hivi wanaume vile
Ishu ya kumhudumia mwanamke inakuja automaticaly kama ukipewa real love, heshima
Ukimpa man wako penzi la kweli na heshima man tunajiongeza mwenywe utaenjoy love, Ata niwe na michepuko but you my lady utakuwa exceptional
Lakini lijanamke linaloishi nawe kwa mud, likuretee dharau, lenye kampany mbovu halijielewi utalihudumiaje..itakuwa mnasaidian majukumu

Wew una buy simu, mwingine anarusha vocha, wew unanunua nguo mwenzio viatu
Sasa balaa linakuja hapa WEW UNAMVALISHA CHUPI MWENZIO ANAMVUA.

Endelea kuhudumia migube gube ya mjini utakuja JF unalia kikwenu
 
Wanawake ni wapuuzi yaani majinga sana ....yanawaza kutuzwa Wao tu lakini Wao hawajali kitunza mwanaume yaani kama kuna demu akiniomba pesa nikimwambia Sina anachukia sana lakini ukimpa hapo mtataniana sana....I hate ladies sana yaa ni mijinga inawazaga kutunza tu kwani umezaliwa Ili utunzwe
...acheni upimbi fight for yours na sio cha mwanaume
Bora 50-50 ije tu ...tumechoka mijinga jinga

Unaonekana una hela za mawazo
 
KUHONGA...KUCHUNWA...KUHUDUMIA... hayo ni maneno tu ambayo yana maana ya mwanaume kutoa hela au vitu....
 
Nilijua tu watu povu litawatoka..mna nini enyi wanaume? Eti siwezi kumhudumia wakati sijamuoa.....mbona papuchi ukinyimwa unanuna ? Kwani mkeo huyo? We kunihudumia kama mke utata ila wewe unataka uwe treated kama mume.....msiwe selfish kiasi hicho loh

kama papuchi yako dili ifungie ndani
Hela mnataka
Msipofikishwa mnalalama
Ku cheat mna cheat

kweli hamueleweki kama mbunye mkiinama ipo nyuma mkisimama ipo mbele

Eid el haj
 
hao wanawake unaowazungumzia labda sio hawa wenye mabwana kila kona...
 
Nahisi mleta mada amepata mpenzi kwa mara ya kwanza katika maisha yake.....baada ya miaka mingi ya kupiga punyeto hatimaye amepata pa kumwagilia mbegu zake...
 
merengo90

Hivi ye hapa kaongelea migube gube.....kama mpenzi wako unamuona gubegube what's the point of being with her anyway?
 
Last edited by a moderator:
MO11

Hahahahaa huna lolote ubahiri tu
 
Last edited by a moderator:
Mamaako naye mwanamke pia.
Wanawake ni wapuuzi yaani majinga sana ....yanawaza kutuzwa Wao tu lakini Wao hawajali kitunza mwanaume yaani kama kuna demu akiniomba pesa nikimwambia Sina anachukia sana lakini ukimpa hapo mtataniana sana....I hate ladies sana yaa ni mijinga inawazaga kutunza tu kwani umezaliwa Ili utunzwe
...acheni upimbi fight for yours na sio cha mwanaume
Bora 50-50 ije tu ...tumechoka mijinga jinga
 
Hivi ye hapa kaongelea migube gube.....kama mpenzi wako unamuona gubegube what's the point of being with her anyway?

Hao ambao unawaeleza na kutaka wahudumiwe unawajua vizuri?? na katika yote niliyo yaongea umeon hilo la gube gube tu!!!! Tuliaa
 
Nilijua tu watu povu litawatoka..mna nini enyi wanaume? Eti siwezi kumhudumia wakati sijamuoa.....mbona papuchi ukinyimwa unanuna ? Kwani mkeo huyo? We kunihudumia kama mke utata ila wewe unataka uwe treated kama mume.....msiwe selfish kiasi hicho loh

Tatizo wanaume siku hi I wengi ni wachoyo hawaijui thaman ya mwanamke they are so selfish wanajifikiria wao tu ila saa ya kugonga mzigo wanakuwa kama walishapata hati miliki siwapendi kama nn wanaopenda kutia watoto Wa wenzao kuwahudumia hawawezi.
 
Joasi

Mh we nae nuksi tu kwa dem wako nahisi kumhudumia sio sbb ya kumuona mjinga mjinga ananuna kwa sbb we ni bahili sana. More than kawaida hovyoo jirekebishe hudumia mpenzi wako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom