MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Si ili nithibitishe kuwa we sio longolongo kama unavyodai?
enheee ukishathibitisha ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ili nithibitishe kuwa we sio longolongo kama unavyodai?
Ikishafika mwaka huyo partner tayari maana anajua mpaka size ya boxer na viatu sasa huyu mnajadili nini??!!!!Mpenzi wako umekaa nae zaidi ya mwaka useme humjui kiivyooo...utani huu ni kukwepa majukumu tu hamna lolote na ukimkuta mwenzangu na mimi kaja mjini na gari la mbao mnakomeshea kweli
Olesaidimu we mbishi tena bora tu ukubali yaishe....its your responsibility kuhakikisha I'm living a comfortable life as possible as long as unataka kuwa na mm I mean unanipenda haijalishi utafikiri unanunua au ni hiari.
Huo ni msimamo wako Oles....wapo wanaume vichwa ngumu balaaa kutoa hela Yake hata umwambie 2 months before. Ye hanaga hela kila siku ila bia tunywe mpaka tujikojolee maisha gan hayo. Wanaume wote wangekuwa ivo duh tungeinjoy.
enheee ukishathibitisha ?
Mi nakuambia....kuna wanaume wabahili acha kabisa...speaking from experience hawafai kwa supu wala mshikaki
Si ntakua nimejua...
Thubutuuu atafaid labda mechi moja ambayo itakuwa umemcost mbaya hapo siku za nyuma then tutaonana wabaya khaaaa mi stak ujinga eti kama viatu ni vingi si vyangu ye kaz Yake kununua ilo la kuvivaa aniachie mwenyeww
Ndio maana nasisitiza mazungumzo mpaka saturation we mchimbe tu kuhusu maisha ye akileta stori za movie mpya msikilize akimaliza mbadilishie topic juu ya maisha mixer enjoyment haitachukua muda utamjua!!!
Na nyie bhana mtu muajiriwa kama wewe hana biashara wala hisa siku za mwanzo party life na hamuulizi lolote kikiisha kilichokuwepo mnanuna hivi mnadhani wanakojoa pesa???!!!
kwahyoo ww unataka penzi tu na kutoa hela hutakii,kaz unayoo ww,kwahyoo mwenzetu unahudumiwa na jiranKumpa pesa mpenzi ili kumhudumia kama mke? Hivi wanawake unawajua au unawauliza? Hudumieni, yangu macho.
^^
Si ntakua nimejua...
Vipi wewe ni mwanachama wa Kikosi cha mizinga ?
Ukimuuliza utasikia ananichimba anataka kujua vyanzo vyangu vya mapato ili anichune vizuri....hawanaga hata jema hawa watu....
kwahyoo ww unataka penzi tu na kutoa hela hutakii,kaz unayoo ww,kwahyoo mwenzetu unahudumiwa na jiran