Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
sasa nifanyaje mkuu??..au nami nipige fiksi??Acheni kuupenda umaskini nyie.
Piga fiksisasa nifanyaje mkuu??..au nami nipige fiksi??
haha hamna kawaida mkuuPancho unatafuta huruma humu auu
simple tuu mbona??ID fake sasa unataka watu waweje real??
Hahaha miss kyenda! Yaani umeijua akili ya mtu kwa maandishi tu nyuma ya keyboard???.. na je wewe una gari??, nyumba??... najua utasema unavyo.. 😬😬😬..Kwa hiyo kuwa maskini ndo kuwa real.. Af wenye akili kama yako huwa hawana gari, nyumba, elimu ya maana au hata ghetto LA maana..
Pambana na hali tu ila usisahau kuplay song la card b I like it ...
Hahaaaa Nipo natoka kazini kwa daladala kuelekea mbagala na nimeshikilia bomba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ..wakutoa lift hawajaniona etHahaha miss kyenda! Yaani umeijua akili ya mtu kwa maandishi tu nyuma ya keyboard???.. na je wewe una gari??, nyumba??... najua utasema unavyo.. [emoji51][emoji51][emoji51]..
GoodHahaaaa Nipo natoka kazini kwa daladala kuelekea mbagala na nimeshikilia bomba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ..wakutoa lift hawajaniona et
Yeye ndo anatakiwa aseme ana mtu. Unless kama wewe kakuajili uwe msemaji wakeMzigua90 achana nae. Tafuta mtu mwingine. Husiseme hukuambiwa ukikutwa na Bwana Pepsi.
Nb: Heshimu mali za watu.
Ila jiamini sawaaa... Iheshimu kazi inayokupa kipato na pengine kuwa proud lakini usisahau kuwa proud na mtu unayetaka kuwa kuliko uliye sasa hivi.. After all maisha ni future sio present japo present ndo yatengeneza future.. Kaushauri thou najua unachangamsha genge[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Good
Wewe unajiamini?Kujikubali hakuna haja ya kushusha wenzako chini au kuwanyooshea wengine vidole,jiamini...unaloona haliwezakani kuwa kweli kwa wenzako ni kawaida kwao.
Ila kama it makes you feel better,vizuri.
kwani nateseka mama?? sawa kabisa.. point tatu umechukua..Ila jiamini sawaaa... Iheshimu kazi inayokupa kipato na pengine kuwa proud lakini usisahau kuwa proud na mtu unayetaka kuwa kuliko uliye sasa hivi.. After all maisha ni future sio present japo present ndo yatengeneza future.. Kaushauri thou najua unachangamsha genge[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]