Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #41
Powa tuu nnalo gutaa la miguu mitatu.. 😃😃..linantoshaEee maana wewe ndiye mwanaume pekee jf hauna gari,, wala nyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Powa tuu nnalo gutaa la miguu mitatu.. 😃😃..linantoshaEee maana wewe ndiye mwanaume pekee jf hauna gari,, wala nyumba
Kumbe ww ni poti mzeebaba?? 😃😃Mimi ni Askari kwa sasa niko Mtwara.
Hahahaha me ni underground.mkuu hapa dom nafahamika Sana tuuUnastahili kuitwa pancho boy, kumbe wewe ni producer wa nyimbo fake za fleva?
Mbona mguno?? siteseki mbona??Mmmh.
Ndio Mimi mkubwa??We ndo pancho panchilo
Sawa sawa mzeebabaDj mwenzako majizo anamiliki Radio&Tv.
Pambana.
Hahahahaahah Mkuu nakuja kuchukua korosho zangu...ila kwan umeshaenda mtwara?Korosho zako nikupe kilo mbili nimalizane na wewe kabisa.
Kitambo sana nazunguka kama gari la majitaka.Hahahahaahah Mkuu nakuja kuchukua korosho zangu...ila kwan umeshaenda mtwara?
Basi korosho kilo mbili hazitatosha mkuu..maana mtwara si ndiyo kwenyewe?Kitambo sana nazunguka kama gari la majitaka.
Eeeh zipo nyingi sana, umetoka kule nyumbani kwenu ulikoenda?Basi korosho kilo mbili hazitatosha mkuu..maana mtwara si ndiyo kwenyewe?
Bado Sijatoka mkuu Nina mpango wa kurudi kule next weekEeeh zipo nyingi sana, umetoka kule nyumbani kwenu ulikoenda?
Poa poa mzee safi,mzee wa P.P.A..Ndio Mimi mkubwa??
Ukitoka uje hadi pale kwenye nyasi nyasi nyingi tuonane.Bado Sijatoka mkuu Nina mpango wa kurudi kule next week
Wakati me nalia mwenzangu huku anachekaWe jamaa unafrahi kuwa maskini sio
Wewe unajiamini?
Got you.Yeah,najiamini..na siko intimidated na hali ya mtu ya maisha...sanasana itani motivate to do better.Kwa mfano
Sina gari wala nyumba kwa sasa ila kuwaponda wenye navyo hakutanifanya niwe navyo...au kujiaminisha wenye navyo ni waongo au fake hakutanisaidia chochote... unproductive jealousy.