Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hivi hii "kila mtu" huwa ni irony au!!!
Maana mbona mie huwa naona wengi tu wanajitanabaisha na maisha yao ya kawaida tu!! Like kama mtu ana gari na nyumba asiseme kwakuwa kuna mtu mmoja hana gari atajisikia vibaya!!!
Ifikie hatua tuone kuwa na gari na nyumba ni mambo ya kawaida tu na ya msingi kwa maisha yetu.
Tusiokuwa nayo basi iwe ni changamoto kwetu kufikia huko maana hakuna anayependa maisha ya chini basi tu ndio hivyo tena. Acheni wenye magari na majumba yao wajimwage nasi tupambane tutafute yetu.