Kama ni kitu cha kawaida.. mbona kutwa kutangaza humu??..Hivi hii "kila mtu" huwa ni irony au!!!
Maana mbona mie huwa naona wengi tu wanajitanabaisha na maisha yao ya kawaida tu!! Like kama mtu ana gari na nyumba asiseme kwakuwa kuna mtu mmoja hana gari atajisikia vibaya!!!
Ifikie hatua tuone kuwa na gari na nyumba ni mambo ya kawaida tu na ya msingi kwa maisha yetu.
Tusiokuwa nayo basi iwe ni changamoto kwetu kufikia huko maana hakuna anayependa maisha ya chini basi tu ndio hivyo tena. Acheni wenye magari na majumba yao wajimwage nasi tupambane tutafute yetu.
Kwani kama mtu ana gari asiseme jamani!!! Mbona mtu akisema ana mpenzi hamshangai au kumkomalia?Kama ni kitu cha kawaida.. mbona kutwa kutangaza humu??..
papuchi na gari ni vitu viwili tofauti.. mtu hajaulizwa yeye kakazana.. "nina sijui BMW "??..Kwani kama mtu ana gari asiseme jamani!!! Mbona mtu akisema ana mpenzi hamshangai au kumkomalia?
PoleKiukweli humu masela wana fiksi sana... yaani humu kila mdau ana gari, ana nyumba, ana kazi nzuri, mixer kidhungu anakijua.... Lakini ukweli wa maisha yao ni kituko tuu..
sasa Mimi pancho Boy sitaki fiksi...
kazi yangu nadili na uproducer, na pia ni dj wa club na event mbali mbali... me sio tajiri.. maskinii tuu.. naishi maghetoni..
wadau humu acheni fiksi!!..
"uongo dhambi "
Asante.. kwani nateseka??Pole
Kiukweli humu masela wana fiksi sana... yaani humu kila mdau ana gari, ana nyumba, ana kazi nzuri, mixer kidhungu anakijua.... Lakini ukweli wa maisha yao ni kituko tuu..
sasa Mimi pancho Boy sitaki fiksi...
kazi yangu nadili na uproducer, na pia ni dj wa club na event mbali mbali... me sio tajiri.. maskinii tuu.. naishi maghetoni..
wadau humu acheni fiksi!!..
"uongo dhambi "
Eee maana wewe ndiye mwanaume pekee jf hauna gari,, wala nyumbaAsante.. kwani nateseka??
Eee maana wewe ndiye mwanaume pekee jf hauna gari,, wala nyumba
Hahahahahahahah ahsante mkuu...nitakutafutaNitafute nikupe korosho bureeee.
Hahahahahahahah ahsante mkuu...nitakutafuta