Wanaume tuacheni fiksi!...mimi pancho haya ndo maisha yangu...

Ngoja na mm niwe real ,nina nyumba 3 ,gari 3 ,kampuni etc ................Hii ilikuwa ndo ndoto ya jana karibuni mbagala zakihem
 
Yeah,najiamini..na siko intimidated na hali ya mtu ya maisha...sanasana itani motivate to do better.Kwa mfano
Sina gari wala nyumba kwa sasa ila kuwaponda wenye navyo hakutanifanya niwe navyo...au kujiaminisha wenye navyo ni waongo au fake hakutanisaidia chochote... unproductive jealousy.
Wewe unajiamini?
 
Humu ukitangaza njaa mtu akiona tu ID yako hata hasomi ulichoandka anaruka, anajua unalalamika au unataka umkope, unamaliza mwaka hamna aliyekulike hata, pili hata ukilia njaa hamna atakayekuonea huruma, hapa ni fix tuu, maisha yenyewe fake utakuaje real?
 
Got you.

Kwema lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…