Wanaume tujali Familia zetu

Wanaume tujali Familia zetu

Escobber pablo

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2024
Posts
302
Reaction score
695
Wanaume jalini wake zenu pamoja na watoto zenu kwa upendo na maadalii mema Ili tujenge Taifa Bora.

Eee Mungu tusaidie sisi wanaume utusamehe mazambi yetu.

Baadhi ya Wanaume wengi wanakwepa majukumu yao katika familia na wengine hunyanyasa familia zao na kulewa pombe na kutohudumii familia zao ipasavyo.

Ikumbukwe kuwa sisindo tumepewa nguvu ya kuongoza na kusimamia malezi ya watoto wetu pamoja na familia kwa ujumla lakin naona wengi tumekimbia majukumu na kuwaachi wanawake tusiikubali hii ni laana

Weekend njema
 
Ni ukweli kabisa!
Me wengi tunakbiliwa na hisia za kupoteza hasa tunapowajibika Kwa make na watoto!

Ni kana kwamba tunaandaaa maisha ya ke kupitia watoto ,na watoto waliowengi wanasahau baba zao wakikua!

Tuendelee kutimiza wajibu wetu!
 
Back
Top Bottom