Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Pichani ni Samuel Eto'o akiwa na mkewe unaambiwa kabla Eto'o hajawa star mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa pesa ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka
Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza kupata mshahara mkubwa aliamua kumuoa mwanamke huyo aliyetoka nae mbali na hadi leo wapo pamoja kwenye ndoa zaidi ya miaka 20
Funzo: Ukifanikiwa usitafute penzi jipya heshimu aliyetoka mbali na ww na kukupa support