makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Lile Gari angelitoa kwenye chama chetu ili tufanye kazi ya kukuza chamanakala imfikie Bolotoba aliko 🤣, kudumu chama Cha ma jobless pro max 😂
Kwanini alichome moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile Gari angelitoa kwenye chama chetu ili tufanye kazi ya kukuza chamanakala imfikie Bolotoba aliko 🤣, kudumu chama Cha ma jobless pro max 😂
Tunge kuwa wehu, Bora ubaki jobless ila mzima, 😆Lile Gari angelitoa kwenye chama chetu ili tufanye kazi ya kukuza chama
Kwanini alichome moto
😂😂 Tungeenda kulitengeneza Tanga kwa Makaburi NgonyaniiiiTunge kuwa wehu, Bora ubaki jobless ila mzima, 😆
makaburini ngonyani ni nani??😂😂 Tungeenda kulitengeneza Tanga kwa Makaburi Ngonyaniiii
Kazi ndogo hizo
Hahaha jamaa angu huyo nikupe story Yale una muda 😂makaburini ngonyani ni nani??
Vijana mna lugha ngumu sana manina, huwa nikiona wife anatoka home sometimes nawaza sana basi tu maisha hayaHakuna mtu wa mtu kijana,kuchapiwa hakuepukiki
Mbona umefanya nimesoma Kwa hisia kabisa 🤣Salaam jamiiforum
Wanaume wenzangu hapa Duniani tunapita, hivyo kila kitu kizuri ikiwezekana kifanyike na siyo kujibana saaana jipe Raha tofauti tofauti mara moja moja,
Safiri kwenda sehemu mbalimbali kama una afford,
Kula vizuri ,vaa vizuri ,endesha usafiri mzuri hata kama hujazifikia ndoto ila fanya kitu roho inapenda.
Mimi starehe yangu kubwa Kwa zaidi ya miaka 20 ilikuwa ni pombe kabla ya kuacha Kwa hiyari mwaka Jana baada ya kupoteza kiasi kikubwa cha pesa kisa pombe.
Sasa leo nataka kushare na ninyi kitu kimoja kuhusu wanawake pindi tunapokutana nao,haswa hawa wenye nafasi serikalini
Hapa sizungumzii anayejiuza indirect,
Ila namzungumzia mwanamke ambaye unamtongoza kisha mnakubaliana mkutane lodge au popote mnapopajua,wanawake hawa Kwanza Wana kazi zao ,pia hawataki waonekane wanakuuzia yeye anachoangalia ni kujiongeza kwako,ukiwa hueleweki anakupiga chini,utakuta kapunguza mazoea na wewe.huyu ukitaka awe na wewe fanya hivi
Usipende kumpa hela baada ya kufanya mambo yenu,mpe pesa Kwanza kisha ndiyo mpange namna ya kukutana,utakuwa umemuheshimisha sana,na atakupa mapenzi ya kweli na ya wazi yasiyo na chembe ya unafiki
Tena usipende kumpa cash mpe Kwa njia ya muamala,yaani hata kama mpo wote we mtumie Kwa akaunti yake,halafu usiombe game siku hiyohiyo,tulia jifanye huna haraka.ikiwa ana usafiri muwekee mafuta kisha panga muda usiwe mwenye stori nyingi tengeneza ubize,simu zake kadhaa waweza zipotezea siyo kila ukiona simu yake unapokea kama wito wa nini.
Ikiwezekana akianza yeye kutafuta location itakuwa poa zaidi.usiulize kapajuaje wewe chukua tahadhari tu
Heshimu simu zake,mwache aongee usioneshe unakereka na simu zake jikaze
Usiwe muongeaji,Ila jitahidi kujibu maswali yake kifupi na kuwe na ukweli walau asilimia 70,mweleze kama una mke na watoto wako hii itakufanya uwe huru zaidi.
Hakikisha unapomtaka mtu wa namna hii unakuwa na pesa ya kutosha hata kama unapiga na kupita ,hakikisha hajutii kukutana na wewe.
Piga mashine,ichape sawa sawa kama vile hamtaonana tena,ukijiridhisha na kazi yako nzuri mpe pole hata ya kinafiki
Binafsi napenda Sana wanawake watu wazima kidogo na wenye kazi zao
Weekend njema
Hahahhaaa kizuri kula na wenzioVijana mna lugha ngumu sana manina, huwa nikiona wife anatoka home sometimes nawaza sana basi tu maisha haya
Ndiyo hivyoMbona umefanya nimesoma Kwa hisia kabisa 🤣
Tafuta kaunda yako safi kipindi cha bunge sogea sogea pale bungeni, wale wahudumu na wabunge wadada lazma utampata mmoja ila kidogo mfukoni uwe vizuri.Tatizo utakutana nao wapi?
Moja ya watu waliosoma na kuelewa huu uzi ni wewe,hapa naongelea kuwapata mademu Wazuri ,kama wafanyakazi wa mabenki,DED,DC na wenye vipatoTafuta kaunda yako safi kipindi cha bunge sogea sogea pale bungeni, wale wahudumu na wabunge wadada lazma utampata mmoja ila kidogo mfukoni uwe vizuri.
Ila uache kupenda ngono kiivo mana ni sifa mojawapo ya maskini sabab ndo sehem anayopatia raha pekee 🙅Ndiyo hivyo
Ni rahisi sana kama kumsukuma mlevi kwenye shimo, muhimu uwe na kazi yako na pesa tu hakuna mwanamke atakushinda. Huko wizarani na taasisi mbali za umma wamejaa tele na wanapenda pia hivyo uamuzi wako tuMoja ya watu waliosoma na kuelewa huu uzi ni wewe,hapa naongelea kuwapata mademu Wazuri ,kama wafanyakazi wa mabenki,DED,DC na wenye vipato
Yuko sahibi paragraphs mbili za mwisho kwenye suala la hela na kuisasambua mbususu.mzabzab eti huyu jamaa Yuko sahihi kweli?