Wanaume tukumbushane kidogo mbinu za kivita Kula wademu wenye kazi na mishahara mikubwa

Anza tu kunywa pombe brother...tabu zote hizo zote ni kwa ajili ya mwanamke mtu mzima..
 
Ahahahah..
Dah, mimi biashara ya mapenzi niwe mkweli siipendi na siiwezi.
Kama imezidi sanaa, basi we sema tu unataka shi ngapi nipige nipite vile.
 
Mbona umefanya nimesoma Kwa hisia kabisa 🀣
 
Tatizo utakutana nao wapi?
Tafuta kaunda yako safi kipindi cha bunge sogea sogea pale bungeni, wale wahudumu na wabunge wadada lazma utampata mmoja ila kidogo mfukoni uwe vizuri.
 
Tafuta kaunda yako safi kipindi cha bunge sogea sogea pale bungeni, wale wahudumu na wabunge wadada lazma utampata mmoja ila kidogo mfukoni uwe vizuri.
Moja ya watu waliosoma na kuelewa huu uzi ni wewe,hapa naongelea kuwapata mademu Wazuri ,kama wafanyakazi wa mabenki,DED,DC na wenye vipato
 
Moja ya watu waliosoma na kuelewa huu uzi ni wewe,hapa naongelea kuwapata mademu Wazuri ,kama wafanyakazi wa mabenki,DED,DC na wenye vipato
Ni rahisi sana kama kumsukuma mlevi kwenye shimo, muhimu uwe na kazi yako na pesa tu hakuna mwanamke atakushinda. Huko wizarani na taasisi mbali za umma wamejaa tele na wanapenda pia hivyo uamuzi wako tu
 
mzabzab eti huyu jamaa Yuko sahihi kweli?
Yuko sahibi paragraphs mbili za mwisho kwenye suala la hela na kuisasambua mbususu.

Mie bwana hela sina na nina kibamia so automatically nilisha feli hapo. Nawaachia nyie wenye hizo ndalama huku mie nae delea na nyeto ya mlenda vuguvugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…