Wanaume tukumbushane mapema, kabla jua halijazama

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Bro,
Wanaume wa UWABATA wanaangamia kwa kukosa maarifa, wanapotea, wanaenda kwa mkumbo, hawajui hata lengo la maisha yao ni lipi, wanapeperuka, wamekosa uzito, wameshindwa kukaza, wamekuwa kama bendera.

Tuwashutue au tuwaache?
Hachana nao bro, acha wapotee, hawajielewi, acha wajipalie mkaa, acha wayakanyage. Hakuna hata mmoja wao anayeweza kuwasanua wenzake, "hacha wafu wazikane"

Bro,
Wanaume wa UWABATA jinsi wasivyo na akili, ukiachana na walivyokuwa wakipiga upatu roboti za Elon Musk, wako busy sasa kupigia vigeregere ujio wa wanawake wa Sudan,
Faraja yao sasa ipo kwenye kujiongelesha vitu vya hovyo. Wanatapatapa.!

Ukitaka kuwajua wanaume wa UWABATA utawaona wote wanavyo-post wakishauriana kwenda Muhimbili, wao na wake zao wote wamekuwa mbu-mbu-mbu, wanawaza kwenda kupata wanawake na wanaume waliopendezeshwa na watu wengine.

Bro,
Hao hao wanaosema wanawake ni viumbe wasiotakiwa kuaminiwa, wanasema wanawake hawatakiwi kupewa hata hela ya kusuka, hawatakiwi kutumiwa nauli, wala kuwanunulia nguo, wanasema wanawake ni viumbe wa kuwaogopa wala hawataki kuweka ukaribu wao kabisa... Huwezi kuamini
Ndo hao hao wanajishebedua kwenda kupata Pisi za Sudan zilizokuja kusoma Muhimbili.

Yaani wanafata kila inayoitwa trend, mwanaume kama binti kushadadia mambo. Bro, sio vibaya kushadadia mambo maana hata mimi nashadadia sana sayansi, kuna wanaoshadadia siasa na michezo pia sio shida, sasa shida inakuwa ni mwanaume kushadadia hata mambo yasiyomuhusu, yasiyo yake, mambo asiyo yaweza, wanasema wataenda kusoma Muhimbili ili wapate hizo Pisi za Sudan utafikiri akili zenyewe wanazo.

Bro,
Ni mwanaume gani wa hovyo asiye na akili anayeweza kutaka kupita na kila sura ya kike anayoiona ni nzuri mbele yake.!? Jibu ni "Wanaume wa UWABATA.!"

Wanakuwa hawana matumaini na maisha ya kimahusiano, wanaishi kwa sonona, hawaelewi wanatafuta pa-kujishikiza ili wa-download furaha, hawapati. Hawana Data.!
Wakisikia ujio wa roboti za Elon Musk wanashangilia, wakisia ujio wa wanawake wageni wanashangilia, wakisia kupandikizwa uume taasisi ya Afya ya Benjamin Mkapa wanashangilia.
Hawaeleweki.! Hawajui lipi wanataka, wamekuwa kama wanawake wao.!

Bro,
Tulikubaliana hapa kwenye kikao chetu, sheria namba moja katika kitabu cha Ma-brother sura ya 3 "Hatutakwenda kupenda wala kuwa na mahusiano na Pisi za wanaume wa UWABATA". Hizi Pisi nazo utaziona zikishadadia ujio wa Wanaume wa Sudan, eti Shombeshombe.

Waambieni... Wasione vyaelea...
Hizo Pisi za Sudan wakiziona ni nzuri wakumbuke kuna Wanaume wanazitunza vizuri ndo maana zinakuwa hivyo.
Sasa kama wao wametelekeza Pisi zao kwa kauli mbiu yao ya "kuna hela naisikilizia" basi wajue wamejiroga wenyewe.

Waambieni...
Pisi zote nzuri zina wanaume sahihi wanaojitambua wanaojua nafasi ya mwanaume kwenye jamii, sio hawa vijana wa hovyo wa Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania.

Bro,
Kuna hizi Pisi za wanaume wa UWABATA nazo zimewakatia tamaa wanaume wao, kwanza hawana nguvu za kiume hawawezi kumudu tendo, pili hawatoi matunzo japo kidogo, tatu hawana akili ya maisha, na matatizo mengine chungu nzima, pisi zao zimewanawa.

Nazo ziko busy kwenye page ya Malard Ayo kutafuta picha za wanaume wa Sudan, na kujifariji kuwa zitaenda Muhimbili.

Imekuwa kama Tit-for-Tat
Wanaume wa UWABATA wakipost wanawake wa Sudan, wake zao nao wanapost wanaume, kama wanalipizana kisasi, wanakomoana,

Pisi za wanaume wa UWABATA zinajifariji kwa "whatever man can do..."
Furaha inatafutwa kwa tochi

Bro,
Wanaume hawa Bahiri na wake zao wote ni vipofu wa fikra, hilo shimo wanalokwenda kuingia sisi tutakuwa tumekaa pale na wake zetu na watoto wetu tunayafurahia Maisha.

Hacha wao waangamie, hacha vipofu waongozane njia, hacha wafu wazike wafu wao.!

Nikisema wanaume Bahiri Tanzania najua hauwezi kunielewa kirahisi bro, kwa sababu wewe najua kama una shemeji yangu basi ukipata kidogo mnakigawana, na yeye najua sio miongoni mwa zile Pisi zao, atakuwa anarizika na kidogo chenu.

Naye kama umempa akili ya kutafuta ndo Furaha zaidi, mnashirikiana kupata, hata kama hatafuti kwa sasa usimchukulie kama mzigo.

Sasa na wewe bro usiende kuwa kama hawa wanaume wanao ongozwa na kichwa kilichokatika, kichwa kimedondoka kwenye dimbwi la ngono wakati kiwiliwili kikipambana kutafuta maisha, huku akili ikiwa imekaririshwa propaganda za "mwanamke sio mwenzako" basi maisha yao yanakuwa ni kuelekea tu upepo unapovuma.

Bro,
Usiwe hawa wanaume ambao wanakataa kutunza Pisi zao, wanaenda kukodoa kwa pisi za wanaume wenzao.
Nikisema ni wa hovyo sijui kama nitaeleweka vibaya au vizuri, potelea pote.!

Bro,
Maisha ni mazuri ukiwa na mtu wa kuku-backup, unakuwa na muhimili nyuma yako, ni mwanamke wako mnayependana, unakuwa secured na mtu wako sahihi, hauwezi kuamua kama kuku aliyekatwa kichwa, una mshauri wako, una wa kubadilishana naye maumivu na mwishoni mtashiriki wote Furaha yenu.

Tafuta Pisi yako moja bro, ipendezeshe kwa kadri ya kipato chako, m-spoil shemeji yangu, enjoy naye maisha, kuleni vyakula mnavyopenda, vaa mpendeze kulingana na mfuko wenu, mfundishe kuridhika, mfundishe kufurahi na wewe, furahi naye.

Usirukeruke, tulia usiparaganyike.
Usiwe na tamaa kwa vinavyoelea,
Vimeundwa hivyo...
Unaweza kuunda vya kwako
Ni Akili kidogo tu bro.!
FB_IMG_16865697749859001.jpg
 
Bro,
Wanaume wa UWABATA wanaangamia kwa kukosa maarifa, wanapotea, wanaenda kwa mkumbo, hawajui hata lengo la maisha yao ni lipi, wanapeperuka, wamekosa uzito, wameshindwa kukaza, wamekuwa kama bendera.

Tuwashutue au tuwaache.!?
Hachana nao bro, hacha wapotee, hawajielewi, hacha wajipalie mkaa, hacha wayakanyage.
Hakuna hata mmoja wao anayeweza kuwasanua wenzake, "hacha wafu wazikane"

Bro,
Wanaume wa UWABATA jinsi wasivyo na akili, ukiachana na walivyokuwa wakipiga upatu roboti za Elon Musk, wako busy sasa kupigia vigeregere ujio wa wanawake wa Sudan,
Faraja yao sasa ipo kwenye kujiongelesha vitu vya hovyo. Wanatapatapa.!

Ukitaka kuwajua wanaume wa UWABATA utawaona wote wanavyo-post wakishauriana kwenda Muhimbili, wao na wake zao wote wamekuwa mbu-mbu-mbu, wanawaza kwenda kupata wanawake na wanaume waliopendezeshwa na watu wengine.

Bro,
Hao hao wanaosema wanawake ni viumbe wasiotakiwa kuaminiwa, wanasema wanawake hawatakiwi kupewa hata hela ya kusuka, hawatakiwi kutumiwa nauli, wala kuwanunulia nguo, wanasema wanawake ni viumbe wa kuwaogopa wala hawataki kuweka ukaribu wao kabisa... Huwezi kuamini
Ndo hao hao wanajishebedua kwenda kupata Pisi za Sudan zilizokuja kusoma Muhimbili.

Yaani wanafata kila inayoitwa trend, mwanaume kama binti kushadadia mambo. Bro, sio vibaya kushadadia mambo maana hata mimi nashadadia sana sayansi, kuna wanaoshadadia siasa na michezo pia sio shida, sasa shida inakuwa ni mwanaume kushadadia hata mambo yasiyomuhusu, yasiyo yake, mambo asiyo yaweza, wanasema wataenda kusoma Muhimbili ili wapate hizo Pisi za Sudan utafikiri akili zenyewe wanazo.

Bro,
Ni mwanaume gani wa hovyo asiye na akili anayeweza kutaka kupita na kila sura ya kike anayoiona ni nzuri mbele yake.!?
Jibu ni "Wanaume wa UWABATA.!"

Wanakuwa hawana matumaini na maisha ya kimahusiano, wanaishi kwa sonona, hawaelewi wanatafuta pa-kujishikiza ili wa-download furaha, hawapati. Hawana Data.!
Wakisikia ujio wa roboti za Elon Musk wanashangilia, wakisia ujio wa wanawake wageni wanashangilia, wakisia kupandikizwa uume taasisi ya Afya ya Benjamin Mkapa wanashangilia.
Hawaeleweki.! Hawajui lipi wanataka, wamekuwa kama wanawake wao.!

Bro,
Tulikubaliana hapa kwenye kikao chetu, sheria namba moja katika kitabu cha Ma-brother sura ya 3 "Hatutakwenda kupenda wala kuwa na mahusiano na Pisi za wanaume wa UWABATA"
Hizi Pisi nazo utaziona zikishadadia ujio wa Wanaume wa Sudan, eti Shombeshombe.

Waambieni... Wasione vyaelea...
Hizo Pisi za Sudan wakiziona ni nzuri wakumbuke kuna Wanaume wanazitunza vizuri ndo maana zinakuwa hivyo.
Sasa kama wao wametelekeza Pisi zao kwa kauli mbiu yao ya "kuna hela naisikilizia" basi wajue wamejiroga wenyewe.

Waambieni...
Pisi zote nzuri zina wanaume sahihi wanaojitambua wanaojua nafasi ya mwanaume kwenye jamii, sio hawa vijana wa hovyo wa Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania.

Bro,
Kuna hizi Pisi za wanaume wa UWABATA nazo zimewakatia tamaa wanaume wao, kwanza hawana nguvu za kiume hawawezi kumudu tendo, pili hawatoi matunzo japo kidogo, tatu hawana akili ya maisha, na matatizo mengine chungu nzima, pisi zao zimewanawa.!
Nazo ziko busy kwenye page ya Malard Ayo kutafuta picha za wanaume wa Sudan, na kujifariji kuwa zitaenda Muhimbili.

Imekuwa kama Tit-for-Tat
Wanaume wa UWABATA wakipost wanawake wa Sudan, wake zao nao wanapost wanaume, kama wanalipizana kisasi, wanakomoana,
Pisi za wanaume wa UWABATA zinajifariji kwa "whatever man can do..."
Furaha inatafutwa kwa tochi

Bro,
Wanaume hawa Bahiri na wake zao wote ni vipofu wa fikra, hilo shimo wanalokwenda kuingia sisi tutakuwa tumekaa pale na wake zetu na watoto wetu tunayafurahia Maisha.
Hacha wao waangamie, hacha vipofu waongozane njia, hacha wafu wazike wafu wao.!

Nikisema wanaume Bahiri Tanzania najua hauwezi kunielewa kirahisi bro, kwa sababu wewe najua kama una shemeji yangu basi ukipata kidogo mnakigawana, na yeye najua sio miongoni mwa zile Pisi zao, atakuwa anarizika na kidogo chenu.
Naye kama umempa akili ya kutafuta ndo Furaha zaidi, mnashirikiana kupata, hata kama hatafuti kwa sasa usimchukulie kama mzigo.

Sasa na wewe bro usiende kuwa kama hawa wanaume wanao ongozwa na kichwa kilichokatika, kichwa kimedondoka kwenye dimbwi la ngono wakati kiwiliwili kikipambana kutafuta maisha, huku akili ikiwa imekaririshwa propaganda za "mwanamke sio mwenzako" basi maisha yao yanakuwa ni kuelekea tu upepo unapovuma.

Bro,
Usiwe hawa wanaume ambao wanakataa kutunza Pisi zao, wanaenda kukodoa kwa pisi za wanaume wenzao.
Nikisema ni wa hovyo sijui kama nitaeleweka vibaya au vizuri, potelea pote.!

Bro,
Maisha ni mazuri ukiwa na mtu wa kuku-backup, unakuwa na muhimili nyuma yako, ni mwanamke wako mnayependana, unakuwa secured na mtu wako sahihi, hauwezi kuamua kama kuku aliyekatwa kichwa, una mshauri wako, una wa kubadilishana naye maumivu na mwishoni mtashiriki wote Furaha yenu.

Tafuta Pisi yako moja bro, ipendezeshe kwa kadri ya kipato chako, m-spoil shemeji yangu, enjoy naye maisha, kuleni vyakula mnavyopenda, vaa mpendeze kulingana na mfuko wenu, mfundishe kuridhika, mfundishe kufurahi na wewe, furahi naye.

Usirukeruke, tulia usiparaganyike.
Usiwe na tamaa kwa vinavyoelea,
Vimeundwa hivyo...
Unaweza kuunda vya kwako
Ni Akili kidogo tu bro.!
View attachment 2663532
Hacha X
Acha ✓
 
Back
Top Bottom