Kabla hujaoa jitahidi upate mdada/mkaka aliekupenda sana, jitahidi upate mdada/mkaka uliempenda sanaa & jitahidi uwe umepata flavor ya mdada/mkaka ambae hakupendi au yupo na wewe Kwa sababu flani flani tu!
Kama anakupikia anakufulia nk na wewe pia mpikie mfulie na kama anakutii anakuheshimu na wewe pia mtii na mheshimu si ndivyo mnavyotaka tuende, tatizo lenu hamtaki haki sawa ila mnataka majukumu sawa tena ikibidi mwanamke afanye zaidi halafu hapo hapo bado mnataka wanawake wawe chini yenu, tunakoelekea wanaume watakuwa mizigo kwa wanawake sababu wanawake watajikuta wanatwishwa majukumu mengi kuliko wanaume in the name of haki sawa