Wanaume tukutane hapa tena

Wanaume tukutane hapa tena

Kwa utamu wa ile kitu yao acha tuwape tu zawadi hata wasipotupa, asee ile kitu tamu dah au ya huyu wangu ndio imezidi
 
Kabla hujaoa jitahidi upate mdada/mkaka aliekupenda sana, jitahidi upate mdada/mkaka uliempenda sanaa & jitahidi uwe umepata flavor ya mdada/mkaka ambae hakupendi au yupo na wewe Kwa sababu flani flani tu!
 
Ngoja waje wale wa 50/50 aka feminist

Jadda vp hapa mkuu
Kama anakupikia anakufulia nk na wewe pia mpikie mfulie na kama anakutii anakuheshimu na wewe pia mtii na mheshimu si ndivyo mnavyotaka tuende, tatizo lenu hamtaki haki sawa ila mnataka majukumu sawa tena ikibidi mwanamke afanye zaidi halafu hapo hapo bado mnataka wanawake wawe chini yenu, tunakoelekea wanaume watakuwa mizigo kwa wanawake sababu wanawake watajikuta wanatwishwa majukumu mengi kuliko wanaume in the name of haki sawa
 
Back
Top Bottom