Wanaume tuliangalie na hili pia!

Wanaume tuliangalie na hili pia!

Tangu nazaliwa mpaka naondoka nyumbani nikiwa na miaka 20 ...sijwai kuona dada angu akivaa suruali sijui kimin wala kuweka wigi na mpaka leo wameolewa Wana miaka 11 na zaidi kweny ndoa zao sijawai kuona ivyo .kujistiri kichwa kawaida sio sana ila vimini sijui suruali na kuweka wigi sijwai kuona
 
Mwanamke yeyeto asiyeheshimu mwili wake kwa kiuanika wazi kama gazette Katu hawezi kumuheshimu mtu yeyeto duniani. Mavazi ni moja ya kipimo cha heshima
 
Sawa mkuu,sema Kuna mdau hapo juu kasema mwanamke akiwa na pesa anafanya atakacho ndani na mwanaume huwez sema kitu
Hiii ni kwel umwambii kitu pesa ya mwanamke ni yake mwenyee 😂ila ya men ni ya wote wawili
 
Academy zao Ni hz : Facebook, Instagram, Twitter,Tiktok,.... Zingine ongezea.
Kuiga iga Ni wazi kuwa mtu hajifurahii namna alivyo
#Chaii
 
Academy zao Ni hz : Facebook, Instagram, Twitter,Tiktok,.... Zingine ongezea.
Kuiga iga Ni wazi kuwa mtu hajifurahii namna alivyo
#Chaii
Nimeogopa wasijesema mwalimu acha ushamba na nguo zako za vitenge
 
Na watoto wa kupakaziwa waendelee,kuuana kuendelee
Stage tuliyofikia Ni mby.
Wengi wanamilikiwa na wachache hee.
Mtu akiona kisigino 5G sharp hewani. Dada usikutanizwe ... Umekwisha
#Ukame na hisia ni Bomu
 
Navutiwaga sana na wanawake wanaoonyesha mali wanazomiliki,sipendi mwanamke ana kitu kizuri afu kutwa anakuwa anakificha,kama guu lipo napenda livaliwe vimini tulione,kama hips zipo piga ya kubana tuzione,tufurahie uumbaji japo kwa macho

Ila sasa sipendi mke wangu afanye yote hapo juu

Ila wanawake wasasa anaweza kukubalia ila siku akipata ujauzito anaanza kujiachia eti anataka hewa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom