Sio lazma migogoroNdoa ikianza kuingia kwenye migogoro tu hapo ndipi ma Ex wanakuja kuwa wafariji wakuu. Yaani kuwa macho sana ndoa yako inapokuwa migogoro na mabaharia wanaotea sana kipindi hiki.
Maamuzi yapi sahihini bora kuibiwa na mwizi usiyemjua au unaemjua ili ufanye maamuzi sahihi?
Ss unaumia nini mkeo kupasha kidogo?!Dhambi ya mke kuchepuka haisameheki, wanaume wa kiafrica ni asili yetu tunaweza kuona wake hata zaidi ya mmoja.
Tatizo watu wanapenda kumuona mke kama ua tuu mume hata kumbinua mkewe haweziKikubwa cheza michezo ya malaya na mkeo ili asije kukutana na kipya, kidogo inaweza kumfanya akamdharau Ex wake!
Wanaume mnavyojisikitisha kwenye huu uzi utadhani huwa hampashi viporo🤦🏼♀️
Tatizo watu wanapenda kumuona mke kama ua tuu mume hata kumbinua mkewe hawezi
Anaanza kumbuka ya ex wake
Acha tu yaniShurti kwa kubinuliwa 😂😂😂😂
Acha tu yani
Wababa wabinueni wake zenu😅😅
Na sio kila siku kitandani
Msije sema sijawaambia
Vile nilvyokuwa kitombi ... Hiiiii na kwao wana kipato dingi yake amestaafu mkurugenzi shirika LA bima LA taifa... Una wako nna wangu tumefunga ndoa ... Tuzae wetu.... Mpaka sasa tuna wa3 .. Mmoja wake mmoja wangu .. Huyu sasa wa3 ndio ilikuwa kizungumkuti ... Nimepiga mzigo hiyo wiki ikatokea msiba kwao tukaenda .. Tumerudi Mara haoni haoni siku... Nkamwambia tu mama hata kama mna hela kwenu huyu si wangu... Ila kwa kuwa tumeona nna mtoto na wewe ulikuwa una mtoto ..Najua ratiba yako .... Aliliaaaaa yaani mpaka huruma .....mtoto namlea maana namuona ni Kama wa Dada zangu wefariki wameniachia watoto wao jumla wa3 ... Ndio maaana nasemaga ndoa ni taasisi ngumu Sana ... Sisi wanaume Tunawagonga wanawake wangapi!!! Wangezaa wote mkeo angewapokea!!boss kwa hiyo kuchapiwa na Ex ni siri ya ndani?
Kumbuka
Dhambi isiyosameheka kwa mwanaume ni mke kuchepuka
ulishawahi kupasha wewe?Ss unaumia nini mkeo kupasha kidogo?!
hahaha unapiga mke wa mtu sioMi mpaka kesho namchapa Ex wangu japo kaolewa na ana watoto wawili.
Na tunawasiliana kama kawa..mumewe akija ananiambia don't text again..na mm nakausha.
Ananipa changamoto za mumewe..tuna sort out na maisha yanaendelea.
Japo nataka niache maana si ka tabia ka zuri na kanaota mizizi daily.
unafosije ndoa?Mke mwenyewe umemfosi ndo ukamuoa na bado hujitumi unategemea nini
Ana wake wa moyoni...alimuacha tu sbb ulitangaza nia mapema!
naomba nije unipe INDUCTIONTatizo watu wanapenda kumuona mke kama ua tuu mume hata kumbinua mkewe hawezi
Anaanza kumbuka ya ex wake
Wewe umejuaje?Maamuzi yapi sahihi
Utengue ndoa?
Usisahau we ndo umependa hapo!unaumia wewe zaidi
Wanaume dawa yenu tunayo!mume kuchepuka japo ni kosa lakini sio dili kama mke kuliwa nje.
mke uliwe nje? Walai hili kosa halisameheki kamwe
😛 😛 😛 usitutishe..
hebu sema ni ipi hiyo?