Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana tako kubwa!!Hilo jimbo langu halipindui mkuu ila nishalisogeza pembeni longtime, jamaa nae apumue...k
Hiyo challenge iko account gani instagram!Kuna challenge inaendelea huko instagramu .... Wanawake waliopo kwenye ndoa wanatoa ya moyoni jinsi maEx wanavyowasugua hivyo visimi .... Wanawake wanavyojisifia namna wanavyochepuka kwa siri lakini bila woga.... Aloooo... Hizi ndoa ni ngumu sana... Wallah
wewe pia unawala sama ma x wakoTuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.
Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.
Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.
Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.
Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
Unataka tupate presha nini?Poleni sana vijana, mara kwa mara muwe mnakagua simu za wake zenu, hasa namba ambazo hazija seviwa ila zina sms za watsup ama sms za kawaida ila hazina jina, ama ukiona namba kafuta sms nunua app uzifuate kwenye dust been ujue mshindani wako ana nini cha ziada, fanya mazoezi umzidi.
mwl_rosemarymallyaHiyo challenge iko account gani instagram!
Wanawake wa huku uswahilini wanaliwa kwa sababu ya vikoba!Wengine wana album nzima ya Ma-X...ukifwatilia utapata tabu sana
..mwanamke anaweza asichepuke na X vile vile na akaanzisha mahusiano mapya baada yako..
..muhimu timiza majukumu kama mume hayo mengine ni out of your control
Hahaha hahaha daaah nimecheka sanaaa 😂😂😂😂Ana tako kubwa!!
Mbona unacheka jibu mkuuu!Hahaha hahaha daaah nimecheka sanaaa 😂😂😂😂
Kataa ndoa.Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.
Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.
Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.
Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.
Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
Hiyo app ya kutafuta sms kwenye dust bin ipo??!Poleni sana vijana, mara kwa mara muwe mnakagua simu za wake zenu, hasa namba ambazo hazija seviwa ila zina sms za watsup ama sms za kawaida ila hazina jina, ama ukiona namba kafuta sms nunua app uzifuate kwenye dust been ujue mshindani wako ana nini cha ziada, fanya mazoezi umzidi.
Low self-esteem niqqaMmmh