Natumai hamjambo wakuu.
Miezi kadhaa nyuma nilipeleka kiatu kwa fundi ili aniundie cha aina ile coz nakipenda sana, pale ofisini alikuepo mrembo ambae ni mke wa fundi.
Baada ya maelewano fundi alinipa mawasiliano nimpigie after 3 days ajil yakuchukua kama kitakua tayari, after 3 day nikapga simu akapokea ke nikajitambulisha akanambia fundi kasahau simu nyumbani hivo nimpigie jioni.
Baada yakunambia vile nilimsifu kwa uzuri na saut yake then nikaomba namba, akanipa bt kanambia nisimtfute hadi anaponitafuta yeye.
Nilimtongoza akakubali, akanambia kumeet lodge haiwezekani coz anaweza kutana na wanaomjua, akasema atampanga mumewe kuwa anasafari fulan then mi niandae mazingira yakua nae kwa mda wote wa safari.
Alifanya vile then akanijuza kua tayari, niliwaz kumbe haya ndo hutufanyia wake zetu? anakwambia safari na nauli unampa kumbe anaenda kuliwa? nilichukua uamuzi wa kumpotezea japo alinichukia sana na kunitamkia maneno makali.
Wakuu huu ndo uhalisia wa wanayotufanyia wake zetu japo wengi wetu hatujui.