Wanaume tuliooa tujipeni pole wenyewe

Wanaume tuliooa tujipeni pole wenyewe

Natumai hamjambo wakuu.

Miezi kadhaa nyuma nilipeleka kiatu kwa fundi ili aniundie cha aina ile coz nakipenda sana, pale ofisini alikuepo mrembo ambae ni mke wa fundi.

Baada ya maelewano fundi alinipa mawasiliano nimpigie after 3 days ajil yakuchukua kama kitakua tayari, after 3 day nikapga simu akapokea ke nikajitambulisha akanambia fundi kasahau simu nyumbani hivo nimpigie jioni.

Baada yakunambia vile nilimsifu kwa uzuri na saut yake then nikaomba namba, akanipa bt kanambia nisimtfute hadi anaponitafuta yeye.

Nilimtongoza akakubali, akanambia kumeet lodge haiwezekani coz anaweza kutana na wanaomjua, akasema atampanga mumewe kuwa anasafari fulan then mi niandae mazingira yakua nae kwa mda wote wa safari.

Alifanya vile then akanijuza kua tayari, niliwaz kumbe haya ndo hutufanyia wake zetu? anakwambia safari na nauli unampa kumbe anaenda kuliwa? nilichukua uamuzi wa kumpotezea japo alinichukia sana na kunitamkia maneno makali.

Wakuu huu ndo uhalisia wa wanayotufanyia wake zetu japo wengi wetu hatujui.
Cha msingi ni kuomba tuwe na mwisho mwema.
 
Mkuu ulichokisema umenikumbusha jamaa yangu mmoja tukiwa tunapiga story kuwa anashangaa kuwa wanawake wengi aliokutana nao ambao ni wake za watu karibia wote walikubali kuliwa tena kirahisi mno nilichomwambia na mkeo nae atakuwa hivyo hivyo .
 
Huyo sio mke ni mwanamke

Kuna tofauti kati ya mke na mwanamke

Mke hawezi kubehave kama huyu changudoa alietaka kuliwa kimasihara ila mwanamke anaweza maana bado hajawa tayari kuwa mke

Unapokua tayari kuwa mke maana yake tendo la ndoa ni kwa ajili ya mumeo wa ndoa

Mi nahs ni tamaa. Kwa sababu kama mke unae. Kila mda ukimhitaji yupo tena hata hakatai.Na wengi wenu nyie mkienda mara tatu au nne tu chaliii. Kinachokupeleka nje nini kama sio umalaya na kutafuta magonjwa. Yaan mkeo angejua uliyo nayo kichwani wewe!
sio tamaa mkuu mwanaume ndo kaumbwa hivo, nikupe tu mfano mdogo, mwanamke anaetembea na wanaume wengi mtaani huchukuliwa malaya na alieshindikana bt me anaetembea na ke wengi husifika na kuonekana kama rijali.
 
Mkuu ulichokisema umenikumbusha jamaa yangu mmoja tukiwa tunapiga story kuwa anashangaa kuwa wanawake wengi aliokutana nao ambao ni wake za watu karibia wote walikubali kuliwa tena kirahisi mno nilichomwambia na mkeo nae atakuwa hivyo hivyo .
ukila mke wa mtu nawe jiandae wako kuliwa au saa ingine kashalika.
 
Huyo sio mke ni mwanamke

Kuna tofauti kati ya mke na mwanamke

Mke hawezi kubehave kama huyu changudoa alietaka kuliwa kimasihara ila mwanamke anaweza maana bado hajawa tayari kuwa mke

Unapokua tayari kuwa mke maana yake tendo la ndoa ni kwa ajili ya mumeo wa ndoa
pamoja na yote tuwaogopeni sana wake za watu, tuwaone kama dada zetu.
 
sio tamaa mkuu mwanaume ndo kaumbwa hivo, nikupe tu mfano mdogo, mwanamke anaetembea na wanaume wengi mtaani huchukuliwa malaya na alieshindikana bt me anaetembea na ke wengi husifika na kuonekana kama rijali.
Eeh we kaka unaelekea ni kipanga wewe, haya bana.
 
Bora hukwenda maana fundi angekutawanya kama soli iliyolika vibaya na kubanduka! 😁😁😁
 
mkuu ukweli yule dada anafaa kwa matumizi yakumla bt nilipokumbuka pia ninamke na anaweza fanya the same nilivunjika moyo hata nikaamua kumpotezea.
Mke wako wahuni ndo tunakula na hela anatoa baada ya game.Malipo ni hapa hapa.
 
Huu Ni uthibitisho tosha kua mwanaume ana wivu mkali kuliko mwanamke
 
Huyo sio mke ni mwanamke

Kuna tofauti kati ya mke na mwanamke

Mke hawezi kubehave kama huyu changudoa alietaka kuliwa kimasihara ila mwanamke anaweza maana bado hajawa tayari kuwa mke

Unapokua tayari kuwa mke maana yake tendo la ndoa ni kwa ajili ya mumeo wa ndoa
Utakuwa unazungumzia bibi zako na mama zako ila hawa wa kisasa ni pasua kichwa. Kwa kweli vituko ni navyo viona Kwa hii generations ya sasa hivi,huwa nawaombea sana vijana wangu
 
Hata kizazi hiki wapo ndugu sema inahitaji jicho la kiroho kuwatambua[emoji23][emoji23]
Utakuwa unazungumzia bibi zako na mama zako ila hawa wa kisasa ni pasua kichwa. Kwa kweli vituko ni navyo viona Kwa hii generations ya sasa hivi,huwa nawaombea sana vijana wangu
 
Uzi wako hauna adabu kabisa. Unadhani kwa akili ndogo mjinga na mshenzi ni nani kama sio wewe. Unadhani bila kumshawishi angekutongoza yeye?
 
Umeongea ukweli 100%, wakuseme , wakusimange lakini ulichosema kitasimama.
 
Back
Top Bottom