Uzi umeanzishwa ila wahusika hajatokea hata mmoja
Nikirudi nyuma miaka hiyo aseeeee
Kwa ufupi wanaume wengi wanakula vichapo sawasawa
Siku moja sijui ilikuwaje? Tumeanza ugomvi na mama watoto chilumbanu tena kitandani, nikasema leo mke wangu atanikoma, nikaandaa fimbo zangu za kutosha kwani niliamini hawezi himili ngumi.
Sijui nilikosea wapi kwenye kumtageti? Aroooooooooo breki ya kwanza nilijikuta uvunguni ile nashangaa nimefikaje nilichomolewa huko kama tambala,
Wakati nikistaajabu hayo yote nilijikuta nimo kwapani huku titi lake liko puani, ( embu pata picha kilichotokea hapo)
Nikaamua kuzimia sasa ili nisipige kelele maanake haya yoote yalitokea kwa kasi saaaana, nilianza kwa kuigiza ila sijui ikawa kweli? Nilikuja kutoka usingizini nakuta niko katikati ya maji ya baridi huku nimesubiliwa, ( Mungu wangu) ni sauti ndoogo iliyonitoka
Aseee kumbe nilisikika bwana nikapigwa kofi moja nikajikuta nikirudia tu hali yangu ya kuzimia
Siku hiyo nikawa nimeishia hivo, kila nikikumbuka nikawa nafadhaika moyoni
Sasa siku moja nikawa nimemfanyisha kazi ngumu saana mchana, na baadae usiku tukafanya mapenzi hapa alikuwa na udhaifu mkubwa (akisha fanya hulala saana)
Baada ya kuhakikisha kalala ikanibidi nijiridhishe, asee nikakuta kalala kweli
Nilichokifanya nilimfunga kwa kamba kwa msaada wa kitanda kama nguzo, nilipojiridhisha nikafata bakora na maji ya mtungini, wakati huo watoto wameenda likizo kwa mama yake kijiji jirani,...
Aseee nilijishindilia mboko usiku huo, nilipiga si kitoto, nikasema hapa sikai, nikasepa kwenda Tanga enzi hizo.
Nikiwa huko sikujua kilichoendelea mpaja nakamatwa na kuwekwa ndani sikujua ilikuwaje tenaaa.
Lakini Mungu saidia mpaka leo jasikia yuko hai huyo mama asee (bibi kwa sasa)