Wanaume tuliowahi kupigwa na wanawake tukutane hapa

Hahaha Atoto nakusalimu
 
Mle wa pilipili ana enjoy sana, huyo jama inaonyesha AKIMWAGA TU ANAISHIA KULIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]masaa kadhaa.
Umeonyesha udhaifu mkubwa sana.

Hivi hata mc pilipili anaweza kumrudishia mkewe akimnasa vibao kweli?
 
Daah kuna wanaume wazuri namna hiyo.
Sijui kupiga jinsia ya kike lakini kwa hali hiyo adithubutu milele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]boya wewe nimecheka sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi ukiniitia kikao umeluzi kila kitu na sikaagi kikao daima
 
Daah kuna wanaume wazuri namna hiyo.
Sijui kupiga jinsia ya kike lakini kwa hali hiyo adithubutu milele
Yaani alikua mpole sana, ikabidi majirani wanaume wajiorganize wakamchimba mkwara kwamba ipo siku watamfumua, maana anawadharirisha wanaume hasa hiyo kumvuta sehemu zake hadharani[emoji30] [emoji30]
 
Kuna wabawake wenye mapepo ya kutokua na haya.
Ndio maana kigezo namba moja kwangu cha kuwa na uhusiano na mwanamke ni AKILI.
mwenye akili atakusitiri.
Yaani alikua mpole sana, ikabidi majirani wanaume wajiorganize wakamchimba mkwara kwamba ipo siku watamfumua, maana anawadharirisha wanaume hasa hiyo kumvuta sehemu zake hadharani[emoji30] [emoji30]
 
Nina ulimi mtamu hatari, unaweza kunijia na kisu lakini nikifungua mdomo badala ya kunichoma utavua chupi mwenyewe na ukasahau kulikuwa na ugomvi[emoji23][emoji23]
Kugombana na mwanamke katika maisha halisi kwangu ni vigumu mno
Ninawajulia.
Labda nikiwa na stress zangu halafu nawe uniudhi kupitiliza, utajuta kunifahamu, vinginevyo kwangu hufanyi lolote...hii sio kiki ni halisi[emoji8]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ,ila ukiniudhi sana aisee "nakufumua"
 
Hako kaulimi katamu[emoji3] [emoji3] promo hii ili ututeke eeh, kwahiyo ukiudhika sana ndyo unapiga?, nahitaji mume asiyepiga vipi wewe kama utafaa hivi au jimbo closed?
 
Daaah mimi sijawahi kupigwa ila siku nikipigwa nina ahidi KUCHUKUA LIKIZO ya mwezi mzima na kwenda kujifunza boxing.

Nahakikisha natwanga ngumi kama Mwakinyo au Matumla snake boy.

Then nikishajiona nimeiva narudi home kuanzisha ugomvi.

Lazima nishinde tuu sijazoea kushindea mimi.Siku hiyo atakula za uso nyingi sana.
 
Hujanisoma vizuri;
1. Kupiga meanamke ni udhaifu
2. Ulimi mtamu ni kipaji na sio promo[emoji28]
na sio kwa mapenzi pekee, huwa nazima moto/vita yoyote nifunuapo kinywa, hii ndiyo nguvu yangu pekee ya kiwango cha juu.
3. Kupigana ni ushamba wa hali juu kabisa ktk zama hizi.
4. Kuhusu kuudhika...unajua vyema kuwa watu wavumilivu na (wapole japo mimi sio mple)
Wakikasirika tafuta pa kujificha[emoji28]
Hako kaulimi katamu[emoji3] [emoji3] promo hii ili ututeke eeh, kwahiyo ukiudhika sana ndyo unapiga?, nahitaji mume asiyepiga vipi wewe kama utafaa hivi au jimbo closed?
 
Wale tuliowaachia alama tunacomment wapi
 
Inakuaje unaanza kupigana na mwanamke? Lazima utakua na mapungufu Flani.
Siwezi kupigana na mwanamke aise kama Nitakua na uhusiano na mwanamke asiyenifaa hata nikimrekebisha habadiliii nitaachana nae kwa kuwa nimeshindwa Kabisa kumvumilia lakini sio kuanza kupigana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…