Wanaume tuliowahi kupigwa na wanawake tukutane hapa

Wanaume tuliowahi kupigwa na wanawake tukutane hapa

niko na scar Kwa my right arm KWenye 💪.... Mapenzi yalipungua kwake so nkapata kamchepu Kakanitumia nudes ambazo sikuzifuta,, coz I'm not a cheater type so nudes zikafumwa,,,, Hakutaka niuliza siku hiyo tunawasiliana fresh anacare more than yesterday Kumbe kuna kitu kagundua...
Zile nudes akascreen shot katuma kwake ili mashtaka akileta nikiruka anioneshe ushahidi.... Jioni yake akapika fresh kwao akaleta Kitu Wali kuku wakushato akanambia kula ushibe baba kuna kazi... Nkajua Show kaliiii 😂😂😂 Nimemaliza kula nkaenda oga sasa akawa ananipaka mafuta kifuani Ghaafla kanikwida kaniuliza Juliana ni nani na zile kma zake kakutumia ZA nini Dushe lilisinyaa speed ya 💡.... Saa ngapi asinikwide kweli...
Shambulizi LA kushtukiza naanza kupoteza pumzi na mikucha yake kantia alama shingoni.. purukushani... Akasimama so Kwenye harakati ZA kumzuia kampa msuli saa ngapi asiningate apite hivi na tunyama ndo akili ikamkaa Sawa akaacha ugomvi....
Now Nina kovu kubwa Sana ntalichorea tattoo lipotee......
 
Tulikua na ugomvi na wife alinipiga na chupa ya soda kichwani nikamchapa kofi 1 la kishkaji coz nlikua nimekosea mm,Wife si ndio akaenda jikoni kuchukua kisu! kichapo alichokula hakutoka nje wiki 2
 
Mimi mwezi wa 9 mwaka huu, tulikua tuna ugomvi na demu wangu (chanzo kidogo tu ila kika escalate quickly), ni mixer ya Mjita na Mjaruo, aisee, nikajitia najua kurusha ngumi kwamba nimechukia.

Yule demu ana nguvu aisee, alinipiga na kisu akanishikia, alinikaba nikawa sipumui, alinipiga mangumi ya kichwani nilipoteza network kama dakika 10 nimelala chini.

Mambo yalipokuja kusettle namuheshimu sana. Kumbe uwa anadeka ila ananiweza kunipa kipigo vizuri tu.
Nimejikuta nacheka tu jamaa ulivyohadithia hii story yako!
 
Tulikua na ugomvi na wife alinipiga na chupa ya soda kichwani nikamchapa kofi 1 la kishkaji coz nlikua nimekosea mm,Wife si ndio akaenda jikoni kuchukua kisu! kichapo alichokula hakutoka nje wiki 2
Yes, Yes. Hapo sawa sawa kabisa

Big up saaaaana.
 
Mpangaji mwenzangu anapigwa namkewe sna kias kwamba kila nikimuona najiskia kuchekatu.
Yaan kabisa anaambiwa "ntakufumuaa"

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ha ha ha alijifanya mbabe baada ya kufuma texts, akaanza kuzirusha sina kawaida ya kupiga mwanamke nikawa ninamzuia tuu, cha ajabu kajikuta yeye ndio kaumia kavimba sura yote, jicho limevilia damu, akesepa kwao, wazazi wake wakaja juu kuwa nimemshushia kipigo cha mbwa koko mtoto wao, akasema mwenyewe sijampiga wakawa hawaelewi amevimbaje vimbaje..hadi leo haelewi na kwangu mimi siongei kesi wala siwekwi kikao, so sikuwahi kujielezea wala kulalamika kwa kilichotokea
 
Nafikiria kwa saut kubwa hivi mimi huyu mwanamke anipge mmmmhh labda anipge half aende kwao asiwah rudi
 
Mimi mwezi wa 9 mwaka huu, tulikua tuna ugomvi na demu wangu (chanzo kidogo tu ila kika escalate quickly), ni mixer ya Mjita na Mjaruo, aisee, nikajitia najua kurusha ngumi kwamba nimechukia.

Yule demu ana nguvu aisee, alinipiga na kisu akanishikia, alinikaba nikawa sipumui, alinipiga mangumi ya kichwani nilipoteza network kama dakika 10 nimelala chini.

Mambo yalipokuja kusettle namuheshimu sana. Kumbe uwa anadeka ila ananiweza kunipa kipigo vizuri tu.
😂 😂 😂 😂
Nimecheka sana, huo ujasiri wanatoa wapi.? Me napigaga tu tuvibao twa mahaba basii, nikizidiwa na khasira naishia ku-MC pilipili..!!
 
😂 😂 😂 😂
Nimecheka sana, huo ujasiri wanatoa wapi.? Me napigaga tu tuvibao twa mahaba basii, nikizidiwa na khasira naishia ku-MC pilipili..!!

Kuna watu wana hasira. Kwanza nyumba mzima ilikua imejaa vioo. Maana alivunja glass zote, vyombo vyote, majagi, alinionea huruma TV tu ila vingine vya kupasuka vyote vilikua chini.

Yaani ningekua na CCTV mule ndani ingekua kichekesho kila nikiangalia. Alitoka nje kufuata kisu me nikajifungia ndani, mlango una makomeo matatu nikafunga mawili, aisee aliingia na mlango.

Nilitia hurum ila nikala kipigo bado.

Baadae wanaongea na maza wake maza anamwambia kakupiga demu anasema ndio kanipiga wakati mimi ndio nimepigwa vibaya.

Maza akasema muendee polis ana mjomba wake ni polisi wakasema wanisetie mpango nilale ata wiki moja ndani, dah aisee nilikua natia huruma.

Sema akipoa hasira utakaa ukamdhania watu wanasemaga namuonea sio muongeaji ila uyu jamaa anamjua mimi tu
 
Kuna kamoja kalishanidindiaga chumbani. Kakasimama juu yakitanda kakatuna sura ikabadilika urefu ukaongezeka kakaniambia ngoja kanioneshe kazi...... Wewe nikajisemea 'sumu haipimwi kwakuonja' nikaangalia mlango upo wapi nilipouona nilichomoka kama mshare japo kuwa kalinirukia lakini kakanikosa. Badae kurudi nakakuta kamezimia kwahasira
 
Kuna watu wana hasira. Kwanza nyumba mzima ilikua imejaa vioo. Maana alivunja glass zote, vyombo vyote, majagi, alinionea huruma TV tu ila vingine vya kupasuka vyote vilikua chini.

Yaani ningekua na CCTV mule ndani ingekua kichekesho kila nikiangalia. Alitoka nje kufuata kisu me nikajifungia ndani, mlango una makomeo matatu nikafunga mawili, aisee aliingia na mlango.

Nilitia hurum ila nikala kipigo bado.

Baadae wanaongea na maza wake maza anamwambia kakupiga demu anasema ndio kanipiga wakati mimi ndio nimepigwa vibaya.

Maza akasema muendee polis ana mjomba wake ni polisi wakasema wanisetie mpango nilale ata wiki moja ndani, dah aisee nilikua natia huruma.

Sema akipoa hasira utakaa ukamdhania watu wanasemaga namuonea sio muongeaji ila uyu jamaa anamjua mimi tu
Nimejaribu kung'amua jinsia yako nimeshindwa
 
Back
Top Bottom