mazojms
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,623
- 2,535
Aisee! Udhaifu mkubwa mno.. kwamba nguvu hana hata diplomasia hawezi[emoji1][emoji1][emoji1]. Kamwe sitofikiria kumpiga mwanamke ila hata siku moja siwezi mfanya agundue hilo[emoji1][emoji1], anatakiwa aaminishwe kwamba akijichanganya atachakaa ili kuilinda mipaka.Aisee kuna hao Jirani zetu mke na mume , mke alikua mbabe anampiga mumewe hadi analia Kwa sauti "Mama Fulani utaniuaa" huku nje watu tunaskia kabisa ,tena Kwa sifa anampiga na anaanza kumvuta "mkuyenge" huku anatoka naye nje anamwambia ntaukata duh hadi huruma jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app