Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Kiuhalisia, wanaume hatujuagi kumkataa mwanamke; hatukufundishwa hivo utotoni na pia huaga tuna huruma sana. Again, wanaume tukitongoza halafu tukakataliwa na mwanamke (wanawake wao wamefundishwa kuwakataa baadhi ya wanaume ) sisi wala huaga hatujisii vibaya, mwanamke akutokee halafu umkatae, haki ya NANI huaga wana HUZUNI hao hadi unaona HURUMA tena
 
Hii ni usuall things.....Mimi mke niliye nae kaniaproach na huu ni mwaka wa 7 ktk ndoa
Dadadeki; pongezi sana kwake huyo mama; halafu usikute na wewe ulikua unamzimia halafu unajiuliza namna ya kumtokea nahasa kama anatokea familia ya kushua ndio kabisa yaani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee, kama hayajamkuta mtu anaweza kuona kama mchezomchezo lakini katika uhalisia hayamambo yana kuweka njia panda sana unaweza ukawaza sana uchukue uamuzi gani, yani unaona kama umetegwa ivi amavipi, hatarisana.
kabisa kiongozi wala si uwongo
 
Alitoaje paswedi zako hii chai mkuu ila umeibania sukari
 
mkuu unamanisha DM pharmacy ya mwita ushirombo?? makuti ya siro??
 
Hii movie nishaiona,
Kacheza Musa Banzi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwezi uliokwisha kuna demu kanitongoza sahivi kashakuwa ni demu wangu
Aelewi umwambii kitu kuhusu mimi [emoji1][emoji1]
 
Kutongozwa na mabinti ni kawaida sana, wachache sana watakuelewa ukiwakataa ila wengi hawaelewi kabisaa

Kuna mmoja tulikuwa tunakaa mtaa mmoja, hakukuwa na mazoea zaidi ya salamu tu.
Akaanza na visa vya kuomba muvi, mara earphones na mimi sina desturi ya kudai sana so nikidai mara moja hajanipa basi napotezea.

Sijui hata namba alipataje ila siku kama saa mbili hivi usiku nikapigiwa na namba ngeni, kuuliza wewe nani akajitambulisha kisha akaomba nitoke nje tuongee.

Nikatoka na cha kwanza ilikuwa kuuliza namba umepata wapi na umejuaje mahali naishi, alijibu tuu alienipa namba siwezi kukutajia ila kwako kuna siku nilikufuatilia wakati unarudi nikajua nyumba unakaa.

Baada ya kuridhika na uchunguzi wangu binafsi basi akawa demu wangu hadi alipoenda kusoma india. 2010 ilikuwa.

Mwingine ilikuwa baa, bros zangu wamenibeba wako wanapiga zao wine niko na pepsi yangu.

Natoka toilet nikapigwa stop na binti nikaombwa namba, nikatoa[emoji23].

Turns out kumbe ile siku alitumwa na rafiki yake aniombe namba, ila kwa rafiki yake akaenda sema nilikataa so akanipa yake na sijamtafuta labda niliipoteza kumbe kamzunguka mwenzie[emoji23][emoji23]

Alikuja niambia tayari tuna zaidi ya miezi 3.

Mwingine ilikuwa Tazara pale,nasubiri mataa nivuke ilikuwa saa moja usiku nawahi kazini.
Binti mrembo akanishtua begani, kaka naomba nielekeze standi ya gari za kkoo.

Kwanza nikahisi huyu ananichezea maana ukigeuka tu azam hapo daladala zinasimama so nikamwambia nenda pale.

Wakati anatoka nikamsimamisha nikamuuliza unafika kkoo kabisa au unateremka kati hapo, akasema anateremka kati ngozi au relini kitu kama hicho nikajua hapa nilishampoteza mtoto wa watu maana pale daladala zinapita buguruni ilala.

Nikampeleka pale nbc ila usafiri tabu nikaona atanichelewesha kazini huyu nikaita boda nikamwambia mpeleke huyu dada anakoenda, boda akasema 5000 nikampa.

Nataka ondoka zangu binti akaomba namba kwamba akifika anitaarifu nikampa. Huyu binti nilimsumbua miaka 2 toka 2014 nikaja mkubalia 2016.

Ila katika watu wabishi kukataliwa ni mashoga aisee hawa watu ni wasumbufu hakuna mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…