cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hilo unalijua eeeh? Ndo navowakomesha.Aya bana! Maisha ni yako acha ni shughulike na yangu
Msieeeeew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hilo unalijua eeeh? Ndo navowakomesha.Aya bana! Maisha ni yako acha ni shughulike na yangu
Kizuri cha jiuza kibaya cha jitangaza huu msemo una apply hapa.Pisi kali anakutega ushoboke akupasue. Mademu wabovu ndio wanajitongozeshaga hao!
Hahahahahaha ishi nae tuKizuri cha jiuza kibaya cha jitangaza huu msemo una apply hapa.
Hapa nilipo nimetongwaza na mtoto mkali wa kichagga simu zake anapiga kila saa, uzuri niko mbali na mke.
yaani nimekuja moshi nimekutana naye, kachukua simu kaweka namba.
Daaah ila simtaki mazee, toto zuri nyeupe daah macho sasa, demu ana wivu ataharibu mahusiano yangu na mke wangu ni mjamzito na mke wangu naye ana wivu kunywa sumu dakika 0 tu.
Noma na nusa lakiniHahahahahaha ishi nae tu
Mi uwa nakutana na visa vya kuitwa na mademu njiani , kuna siku natembea zangu na shangaa msichana mkubwa tu yupo na mdogo wake wa kike wakaniita we kaka, nikageuka yule mdogo akasema dada anasema anakupenda na wakawa wanafurahi sana uku wanaondoka, na kuna nyingine napita zangu mtaa demu anaanza kuniita kupitia dirishani kwao anapiga zile pssss pssss😀😀nilijisikia vibaya kinoma, achana na OLEVEL aisee nilikuwa na mazali ya kutongozwa😀😀Pole na hongera sana na kazi za ujenzi
Wa TAIFA letu
Rejea mada apo juu:
#Ilikuwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi na moja tarehe mbili, siku hiyo mwanangu alistahili kwenda klinick#
Usku wa tarehe moja mm na mama ake tulitofautiana kidogo ivo siku hiyo mke wangu akawa amegoma kumpeleka mtoto clinic,,
Basi nikasema isiwe taabu nikavaa zangu shati na suruari na koti [emoji1787][emoji1787] badae nikapiga neck tie, nikapewa vyeti na nguo ya kubobea clinic,,
Mzee baba nikawasha pikipiki na mwanangu mgongoni wa miaka miwili
Bahati nzuri niliwahi kufka zahanati buduma zilikuwa bado hazijaanza kutolewa maana ilikuwa bado saa moja Kama na dk ishirini ivi
Nikakaa zangu kwenye benchi uku nikiwa nimembeba mwanangu kifuani,gafla akapita dada mmoja (nurse)
Nurse: Kaka vp
Mimi: safi za asubuhi
Nurse: nzuri,karb
Mimi: asantee sana
Nurse: vp mtoto wetu anaumwa
Mm: hamna nimemleta clinic
Nurse:haaaaaaaàa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] akachekaa sanaa kwa sauti [emoji1787][emoji1787] Kisha akasema
"Nenda upande wa kule ndo clinic wanakaa"
Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319] sikujua dada angu,
Wakati nataka kusimama akaniulza samahani Simu yako ina salio nimpigie dada wangu wa kazi nimweleze kitu nimesahau?
Nikamwambia hamna sina salio,,nikaulza mtandao gani anatumia akanambia halotel
Nikasema chukua vocha hii ujiunge mpigie
Nurse: asantee sana Kaka angu
Mimi: usjal sawaa
Nurse:niachie namba ako basi
Mm:0784034,,,,,6
Nurse: asantee, ngoja niingie mzigoni apa badae
Mimi😛owa kazi njema
Nurse: malezi mema pia
Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319]
Basi wajomba ile nataka kusepa zangu home baada ya kupima mwanangu,,simu inaita oohoo kuangalia namba ngeni
Kumbe imetuma na meseji sikuiskia
Ndugu zangu wanawake wanajua kupiga mistari,,sikutarajia maneno aliyokuwa ANAONGEA yule nurse na kuandka
Ninachokumbuka nikuombwa nimpeleke mtoto nyumban alafu nirudi uku nikipewa elfu tano ya mafuta kupitia Airtel money
Sikuwa na ujanja wa kuulza kuna shida gani,japo nilijibu maswali yake kama mwanaume,,na yeye akiwa Kama mwanamke
Saa kumi na moja simu inaita,,,napokea nalaumiwa kwa nn sijarudi? Nikamjbu nilikuwa na kazi nyingi ila Sasa hivi niko undo
Akanitaka niende sehem ambayo naijua vizuri ,,ni mtaa fulani karbu na mtaa jirani
Nikawasha pikipiki adi pale namkuta amekaa peke ake,akiwa ameshavua nguo za kazi
Akanitaka tusogee adi nyumban kwake,nikambeba adi kwake daaah
Saa mbili kasoro usku ndo najiandaa kurudi nyumban haaaah,,wajomba sikutumia kinywaji chochote tofauti na nanasi iliyotengenezwa nikiwepo palepale,,
Nilitoa sharti la kupima afya zetu nurse alikubali lakini ki ukweli alifunguka kuhusu kunipenda na kuhitaji tuwe pamoja
Adi leo naandka huu uzi wajomba mzigo nakula Kama kawaida [emoji851] kwani nurse anajielewa isitoshe hela ya kusuka anayo ,,hela ya mboga ipo na uwezo anao,
Japo naona anataka isiwe siri [emoji125][emoji125][emoji124] [emoji125] jambo ambalo siwez muda wowote naweza kimbia
Rejea uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA
LETENI VISA VYENU WANAUME MLIO WAHI KUTONGOZWA
NB:AFYA ZETU NI IMARA NDO MAANA NILIKUBALI KULA MZIGO ADI SASA [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Basi hiyo sio pisi kaliVery interestinG
Job kuna pisi moja kali sana iliwahi niambia "Wewe mbona ueleweki" Nikamuuliza kwanini akua na jibu
Ananipenda najua ila siwezi kumpenda