Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Na mimi nitoe testimony yangu…imeshawahi kutokea ila mara nyingi inakuwa indirect…ila sasa last weekend nikiwa kwa nite club kubwa kwa sasa dar…tumekaa kwenye meza wanaume watupu kwa mbele kulikuwa na meza ina wadada mixer wanaume…sisi tuliwakuta basi tulivyofika kuna mmoja wa wale wadada alikuwa ananicheki sana ila mimi sikujua mpaka mshkaji wangu aliponiambia basi bana nikawa na mimi namcheki kiaina nikajua kweli amewasha full na ilikuwa ni pisi ya moto sana…as time goes nikawa naenda washrooms si akanifata akanichana live amenielewa nilikuwa nimeshika simu akaichukua bila kuomba akasave namba baada ya hapo…ni babe za kutosha from morning to evening…ni pisi ya kishua haswaa…never spend my money on her
Ishantokea incidence kama hii kaka! Nlikuwa club pisi ikamtuma rafk ake kwamba kuna mdada anakuita pale smoking room! Nikaenda pisi ikachukua no zangu fasta! Aisee alikuwa mtoto wa kishua af mkali kinoma! Ila pisi ikikuelewa mapenzi yanakuwa marahisi sana aisee!!!
 
Kutongozwa na mabinti ni kawaida sana, wachache sana watakuelewa ukiwakataa ila wengi hawaelewi kabisaa

Kuna mmoja tulikuwa tunakaa mtaa mmoja, hakukuwa na mazoea zaidi ya salamu tu.
Akaanza na visa vya kuomba muvi, mara earphones na mimi sina desturi ya kudai sana so nikidai mara moja hajanipa basi napotezea.

Sijui hata namba alipataje ila siku kama saa mbili hivi usiku nikapigiwa na namba ngeni, kuuliza wewe nani akajitambulisha kisha akaomba nitoke nje tuongee.

Nikatoka na cha kwanza ilikuwa kuuliza namba umepata wapi na umejuaje mahali naishi, alijibu tuu alienipa namba siwezi kukutajia ila kwako kuna siku nilikufuatilia wakati unarudi nikajua nyumba unakaa.

Baada ya kuridhika na uchunguzi wangu binafsi basi akawa demu wangu hadi alipoenda kusoma india. 2010 ilikuwa.

Mwingine ilikuwa baa, bros zangu wamenibeba wako wanapiga zao wine niko na pepsi yangu.

Natoka toilet nikapigwa stop na binti nikaombwa namba, nikatoa[emoji23].

Turns out kumbe ile siku alitumwa na rafiki yake aniombe namba, ila kwa rafiki yake akaenda sema nilikataa so akanipa yake na sijamtafuta labda niliipoteza kumbe kamzunguka mwenzie[emoji23][emoji23]

Alikuja niambia tayari tuna zaidi ya miezi 3.

Mwingine ilikuwa Tazara pale,nasubiri mataa nivuke ilikuwa saa moja usiku nawahi kazini.
Binti mrembo akanishtua begani, kaka naomba nielekeze standi ya gari za kkoo.

Kwanza nikahisi huyu ananichezea maana ukigeuka tu azam hapo daladala zinasimama so nikamwambia nenda pale.

Wakati anatoka nikamsimamisha nikamuuliza unafika kkoo kabisa au unateremka kati hapo, akasema anateremka kati ngozi au relini kitu kama hicho nikajua hapa nilishampoteza mtoto wa watu maana pale daladala zinapita buguruni ilala.

Nikampeleka pale nbc ila usafiri tabu nikaona atanichelewesha kazini huyu nikaita boda nikamwambia mpeleke huyu dada anakoenda, boda akasema 5000 nikampa.

Nataka ondoka zangu binti akaomba namba kwamba akifika anitaarifu nikampa. Huyu binti nilimsumbua miaka 2 toka 2014 nikaja mkubalia 2016.

Ila katika watu wabishi kukataliwa ni mashoga aisee hawa watu ni wasumbufu hakuna mfano.
Duh 2014 kutoka hapo Tazara hadi Ngozi boda elf 5,000/- poa mtaalam
 
Umezunguka wee ila lengo lako utaje mashoga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu mna kazi, yaan mashoga wanavowaumiza vichwa, akat wao wako buzz na hawajari wala nn lol.

Poleeeeeni sanaaa.
 
Inabidi wakutunuku cheti cha kuwatetea na kuwawakilisha hapa jf
Manake kila wakitajwa mapunga lazima utokee kama treni ya SGR kutetea
 
Umezunguka wee ila lengo lako utaje mashoga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu mna kazi, yaan mashoga wanavowaumiza vichwa, akat wao wako buzz na hawajari wala nn lol.

Poleeeeeni sanaaa.
Mbona una watetea sana

Kama wana mambo ya kiwaki ndio wasiambiwe [emoji3]
 
Mwanaume unajisifia kutongozwa ...angalia usije ombwa ndogo..........
 
Pole na hongera sana na kazi za ujenzi
Wa TAIFA letu

Rejea mada apo juu:

#Ilikuwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi na moja tarehe mbili, siku hiyo mwanangu alistahili kwenda klinick#
Usku wa tarehe moja mm na mama ake tulitofautiana kidogo ivo siku hiyo mke wangu akawa amegoma kumpeleka mtoto clinic,,

Basi nikasema isiwe taabu nikavaa zangu shati na suruari na koti [emoji1787][emoji1787] badae nikapiga neck tie, nikapewa vyeti na nguo ya kubobea clinic,,

Mzee baba nikawasha pikipiki na mwanangu mgongoni wa miaka miwili

Bahati nzuri niliwahi kufka zahanati buduma zilikuwa bado hazijaanza kutolewa maana ilikuwa bado saa moja Kama na dk ishirini ivi

Nikakaa zangu kwenye benchi uku nikiwa nimembeba mwanangu kifuani,gafla akapita dada mmoja (nurse)

Nurse: Kaka vp
Mimi: safi za asubuhi
Nurse: nzuri,karb
Mimi: asantee sana
Nurse: vp mtoto wetu anaumwa
Mm: hamna nimemleta clinic
Nurse:haaaaaaaàa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] akachekaa sanaa kwa sauti [emoji1787][emoji1787] Kisha akasema
"Nenda upande wa kule ndo clinic wanakaa"

Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319] sikujua dada angu,
Wakati nataka kusimama akaniulza samahani Simu yako ina salio nimpigie dada wangu wa kazi nimweleze kitu nimesahau?

Nikamwambia hamna sina salio,,nikaulza mtandao gani anatumia akanambia halotel
Nikasema chukua vocha hii ujiunge mpigie

Nurse: asantee sana Kaka angu
Mimi: usjal sawaa
Nurse:niachie namba ako basi
Mm:0784034,,,,,6
Nurse: asantee, ngoja niingie mzigoni apa badae
Mimi😛owa kazi njema
Nurse: malezi mema pia
Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319]

Basi wajomba ile nataka kusepa zangu home baada ya kupima mwanangu,,simu inaita oohoo kuangalia namba ngeni
Kumbe imetuma na meseji sikuiskia

Ndugu zangu wanawake wanajua kupiga mistari,,sikutarajia maneno aliyokuwa ANAONGEA yule nurse na kuandka

Ninachokumbuka nikuombwa nimpeleke mtoto nyumban alafu nirudi uku nikipewa elfu tano ya mafuta kupitia Airtel money

Sikuwa na ujanja wa kuulza kuna shida gani,japo nilijibu maswali yake kama mwanaume,,na yeye akiwa Kama mwanamke

Saa kumi na moja simu inaita,,,napokea nalaumiwa kwa nn sijarudi? Nikamjbu nilikuwa na kazi nyingi ila Sasa hivi niko undo

Akanitaka niende sehem ambayo naijua vizuri ,,ni mtaa fulani karbu na mtaa jirani
Nikawasha pikipiki adi pale namkuta amekaa peke ake,akiwa ameshavua nguo za kazi

Akanitaka tusogee adi nyumban kwake,nikambeba adi kwake daaah
Saa mbili kasoro usku ndo najiandaa kurudi nyumban haaaah,,wajomba sikutumia kinywaji chochote tofauti na nanasi iliyotengenezwa nikiwepo palepale,,

Nilitoa sharti la kupima afya zetu nurse alikubali lakini ki ukweli alifunguka kuhusu kunipenda na kuhitaji tuwe pamoja

Adi leo naandka huu uzi wajomba mzigo nakula Kama kawaida [emoji851] kwani nurse anajielewa isitoshe hela ya kusuka anayo ,,hela ya mboga ipo na uwezo anao,

Japo naona anataka isiwe siri [emoji125][emoji125][emoji124] [emoji125] jambo ambalo siwez muda wowote naweza kimbia

Rejea uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA

LETENI VISA VYENU WANAUME MLIO WAHI KUTONGOZWA
NB:AFYA ZETU NI IMARA NDO MAANA NILIKUBALI KULA MZIGO ADI SASA [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Tatizo la mwanamke kutongoza mwanamme, mwanamme akikulala akakuacha, utamlaumu? Wanaumme wachache sana watasema no. Nadhani hata wanawake wanaotongoza, kuna aina ya mahusiano wanataka( sexual relationship) na sio mahusiano ya ki mapenzi
 
Umefanana na baba au mama?? Body je ikoje?? Kichwani nako unatema points au ndio ilimradi sauti unayo maneno yatakuja tu yenyewe???
Hizo ndo pointi 3 za muhimu mwanamke anaangalia
 
Mimi ilinitokea nafanya kazi kwwnye shirika moja la UN,Nilitembelea shule moja katika kazi zetu nilipendwa na mdada anaitwa janelulu na lucia ni walimu walikufa wakaoza mpaka niliwaonea huruma
 
Mimi binafsi nimepitia mara kadhaa ila nitasimulia hiki hapa.
Kuna mwanamke ananielewaga tokea niko form one aliniambia hayo licha ya yeye kuhama akiwa form one. Hayo aliniambia baada ya kunitafuta Facebook baada ya miaka 8 na akanambia ya kuwa alikuwa ananicheki mida yote pale school ila akawa hana jinsi.

Aliniambia ananipenda sana na bado ni bikra kabisa. Dah me ndio hata sim feel kbsa. Na me niko namuelewa na niko nab mwngne. Dah nikawa nampotezea mpk leo. Ila nakaonea huruma ila najua nitakatesa.
Ubaya ni kanatabia ya kuzila zila na hatujaonana tangu form one.

Jioni hii kananitafuta wakati me sahv ndio nimeingia mtaani ndio nataka weka life stable ili awe huru na me ahh.

Kasumbufu kila muda kuniambia kananipenda. Mh.

***************
ukauzu wangu ulifanya wakajilengesha sana nikiwa o level.
 
Back
Top Bottom