Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello mamboz JF!
Mara zote ninapohimiza kutafuta pesa namaanisha sana tu kuhusu kutafuta pesa, uwe na pesa, uwe na amani ukiwa na pesa uwe na utulivu ukiwa na pesa uwe na furaha ukiwa na pesa, uwe mwenye afya bora ukiwa na pesa uwe na utulivu wa mwili, roho na nafsi ukiwa na pesa.
Ukiwa na pesa jipende na ujue tafsiri ya kujipenda kweli.
Mungu wa kweli yuko ndani yetu mtaje Mungu japo mara tatu Kwa siku pata walau dakika 15-30 za wewe kusema na Mungu wako kila siku.
Katika mazungumzo ongea na Mungu wako juu ya kukupa maisha marefu, akuwezeshe kuwa mwenye upendo na kusaidia wenye uhitaji na wenye shida.
Mwanaume amua kweli tafuta pesa na uishi na Mungu ndani yako.
Wakati wote mahali popote onesha chemichemi na uwepo wa amani na furaha ndani yako na ujue namna bora ya kukufurahisha na vitu au namna ikupayo furaha na amani.
Kila la heri katika utafutaji pesa ni muhimu.
Nawasilisha
wadiz