Wanaume tuna matatizo gani?

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,898
Reaction score
4,156
SIPENDI TABIA HII MIMI

*Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfuata msichana inbox iwe fb au whatsapp na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama inavyonikera mimi, NITUMIE NAMBA YAKO YA SIMU INBOX* tujadiliane tuone ni kwa namna gani tunaweza *kulikabili hili tatizo*!!!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
hahaha aisee
 
Kwa hiyo nawewe Ni ke'????

Nakuja kukuomba namba nikutumie pesa
 
Huoni hata aibu kipya gani ambacho utakijadili huko inbox ambacho hapa ni kigumu kukiandika.

Hii ni jf ujue.
Anafkir insta au fb[emoji23] mwambie watch it yuko free lkn not to that extent
 
ukiwa hunui uzo hii iko jukwa gan utamind sana
its a joke men!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…