WANAUME TUNAFELI HAPA

Wavulana mna shinda sana kujaribu waelewa wanaume
 
Kuwa mwanamke mkuu mbona hakuna atae kuuliza.
No hard feelings
 
Sasa bila kujisogeza karibu kwa Binti mrembo utawezaje kuzijua tabia zake either nzuri au mbaya? Au we mwenzetu unatembea na x-ray machoni ukiangalia tu unaona mpaka roho yake.
 
Umepiga kwenye mshono....wanaume tunaangalia nyashi ,hips ,gigabytes ,folder ,rangi HD kisha tunatumbukia mzima mzima baada ya muda tunasikia YOWEEEE tu .,kumbe tulijidumbukiza kwa GAIDI.
 
Sasa bila kujisogeza karibu kwa Binti mrembo utawezaje kuzijua tabia zake either nzuri au mbaya? Au we mwenzetu unatembea na x-ray machoni ukiangalia tu unaona mpaka roho yake.
Kujisogeza ndio kulala nae hadi kututangazia na ndoa kumbe umepigwa?Ingekuwa kujisogeza kunasaidia tusingesikia vilio vya wanaume wengi kulizwa na hao unaowaita warembo
 
Kujisogeza ndio kulala nae hadi kututangazia na ndoa kumbe umepigwa?Ingekuwa kujisogeza kunasaidia tusingesikia vilio vya wanaume wengi kulizwa na hao unaowaita warembo
Hakuna mtu mwenye akili timamu atafanya huo upuuzi wa kuoa mtu ambaye hamfahamu tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…