Wanaume tunaongoza kusaliti na kujisifu kusaliti, lakini sisi tukisalitiwa tunalaumu

Wanaume anachepuka kwasababu tumeamishwa na wazungu kuwa mwanaume ni Sawa na mwanamke, wote wanaweza kulidhika na mtu mmoja. Kitu ambacho sio kweli mwanaume hakuubwa kwa ajili ya mke mmoja. Ndio maana hakuna kiumbe kingine Duniani ambacho dume anakuwa na jike moja maisha yake yote. Sasa kwanini binadam tu ndio alazimishwe kuwa na mke mmoja tu? NG, ombe, mbwa, kuku Wana majike ya kutosha.
 
Broo wewe ushakuwa ke uvae tuu sket na sidiria afuu ungane na wezako mothers day
 
A bad wife is worse than a poverty,
If u have a good wife you are already rich.
 
Siku wake zetu wakianza kutusaidia kutongoza ma bimdogo ndoa zitadumu sana!

Wivu ni sumu ya ndoa!
 
Binadamu mnataka wanawake wengi hizo nguvu mnazo?
 
Alafu wanakazana kusema wanawake hawajiheshimu. Hii mada angeianzisha mwanamke wangemwita feminist.

Mnaleta magonjwa nyumbani mnasema mmeumbiwa tamaa. Mi nawaambia bora muoe
Wanawake wapole. Hao vichaa mnaoweka ndani af mna wachiti kifala watawamaliza na visu
 
Acha uzembe broo. Huu ni muendelezo tu. Soma vitabu vya dining ku a mamwamba huko walikuwa na 700+ na Kuna mambo hayatakiwi kujadiliwa na wanaume wenzako.
 
Sema kuchapiwa aisee, unaeza sahau hadi majira
 
Gari haliwezi lalamika kuwa kwanini mmiliki kaendesha gari lingine. Ila mmiliki anaweza lalamika kama gari lake litaendeshwa na mtu mwingine bila lidhaa yake
 
Hakuna jinsia inahochepuka kuliko nyingine. Kwani wanaume tunachepuka na kina Nani si hao hao wanawake? Tusilaumiwe tafadhali both wanaume na wanawake Ni wachepukaji ,, wanaume wanachepuka na hao hao wanawake unaosema wametulia
 
Hakuna jinsia inahochepuka kuliko nyingine. Kwani wanaume tunachepuka na kina Nani si hao hao wanawake? Tusilaumiwe tafadhali both wanaume na wanawake Ni wachepukaji ,, wanaume wanachepuka na hao hao wanawake unaosema wametulia
Sasa kwanini mnaumia sana ukiskia mwanamke wako amechepuka na mnakimbilia kuwachinja
 
Wewe ni mwanaume? Una umri gani?
 
Hata hayo majike hayafanyani na dume moja mbona hapo umejisahaulisha? Polygamy ni kwa jinsia zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…