nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Kwa ufupi, nipo kikazi mkoa fulani kwa bahati mbaya/nzuri nimekutana na binti nilibahatika kuwa nae kimapenzi na nikamhudumia kwa miaka kadhaa nyuma kabla ya kwenda nje ya nchi kujiendeleza kimasomo.
Leo cha kustaajabu nimekuja mkoa X kikazi nimekutana nae akiwa anakata mauno hadharani kwenye kumbi moja ya mziki, baada ya kumfuata na kumsalimia aliishia kulia na kunilaumu kuwa mimi ndio chanzo cha yeye kuishia huko.
Funzo, tuwahudumie hawa warembo hata tukitokomea kusiko julikana wengi wao hugeuka kuwa makahaba ambao husumbua huko katika miji ya watu kwa kigezo cha maisha magumu.