Wanaume tunaongoza kutengeneza wanawake ambao ni tegemezi (malaya)

Wanaume tunaongoza kutengeneza wanawake ambao ni tegemezi (malaya)

Muwe mnawapa mitaji Walai wapate miambili miatatu zakwao na mbarikiwe sana!
Amen
 
Mkuu,hujistukii ulichoandika?
Eti hata mkitokomea kusikojulikana muendelee kuwahudumia,seriously?
Ina maana huyo mwanamke uliyekuwa unamuhudumi ni kilema hawezi kufanya kazi halali akajitegemea?

Ama ndio unatafuta credit kwa wadangaji?
Hata mimi nimeshangaa kwa ujinga anaoutetea ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma ni real ,we chezea wanawake za watu malipo hapa hapa duniani ...ukija kupata mtoto wa kike habari yako kwisha atachezewa sana
 
Karma ni real ,we chezea wanawake za watu malipo hapa hapa duniani ...ukija kupata mtoto wa kike habari yako kwisha atachezewa sana
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani umeona mara 100 umuhukumu mwanaume kulikoni mwanamke mpumbavu. [emoji23][emoji23][emoji23] jamii inatabu hii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani umeona mara 100 umuhukumu mwanaume kulikoni mwanamke mpumbavu. [emoji23][emoji23][emoji23] jamii inatabu hii.
Muulize majani alivyochezea watoto wa watu na uhuni leo Paula anachezewa hiyo ndo karma
 
Tujitahid kuwasaidia dada zetu hasa pale unapokuwa na kauwezo,kwasasa wadada wanapitia magumu sana
,huwa nikiwa bar huwa nawaangalia nashindwa kuelewa mwisho wa maisha yao ni upi
 
Back
Top Bottom