Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Mimi sio mvaaji wa suti( by nature ofcmy daily activities) na sijui Mara ya mwisho kuvaa suti ilikua lini... Lakini kuna series nazipenda simply because of the pieces of cloth niggas be dressing...

James St Patrick (power)
Harvey Spector (suits)
Kai Proctor ( banshee)

Hawa jamaa na admire wanavyovaa
 
Hivi ukienda kutoa mahari ukivaa suti na tai siku hiyo kuna tatizo?
 
Hivi ukienda kutoa mahari ukivaa suti na tai siku hiyo kuna tatizo?
Utaonekana umepania shughuli bro, vaa tu shati, trou na tai...
Au kuna mashati flani nimeyasahau jina yanavaliwa sana kwenye send off sio ya kuchomekea ngoja nkutaftie picha
916358_1592329177756908_2113925992_n.jpg
shati dizain hii, uvae na suruali ya kitambaa black, huwa inaleta muonekano mzuri sana
 
Hizi habari za rangi za mwaka huwa siziwezi.
Kwanza suti si kama nguo zingine ziendazo kwa msimu na hata fashion zake hudumu zaidi ya miaka mitano sasa hilo suala la rangi rangi lituache kwanza ushasikia mguo wenyewe unatembea kwa $2000 ukitaka suti shikamoo ya kibongobongo!
 

Attachments

  • CYMERA_20170628_185136.jpg
    CYMERA_20170628_185136.jpg
    30.9 KB · Views: 179
  • CYMERA_20170628_185241.jpg
    CYMERA_20170628_185241.jpg
    69.1 KB · Views: 182
Back
Top Bottom