Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Iv tai inakiwa iandaen na shati au na nin uwa sielew kwny mpnglio tai inakuwa kwny kundi gani au inavaliwa na shati lolote tu??
My formula...

1. Tie kumatch koti la suti
2. Tie kumatch na mkanda wa kiuno na kiatu pia...gives me confidence
 
Hebu tupeni mafundi wazuri wa suti mjini ambao bei zao ni affordble. Wengi wao wajasiriamali ila viwango bado. Tupeane machimbo ya mafundi wazuri.
 
My formula...

1. Tie kumatch koti la suti
2. Tie kumatch na mkanda wa kiuno na kiatu pia...gives me confidence

Ku-match tai na kiatu labda kama kiatu black vinginevyo hapana kwa kweli, mfano rangi gani nyingine ya tai ambayo ita-match na kiatu..?

Labda zile za kilokole.

Tie sio lazima ifanane rangi na chochote mwilini, labda kile ‘kiuwa’ (badge) cha kifuani.... kutegemea na event.
 
Kwa vitu formal kama meetings , harusi always ni shati jeupe kwasababu inakua kama blank canvas naweza kuvaa tai yenye pattern na inakua rahisi kumatch na pocket square
 
Wengine mara ya mwisho kuvaa suti ni kwenye vipaimara vyetu🤦🏽‍♂️
 
Kuna huyu kijana anaitwa Sheria Ngowi suti anazo tengeneza huwa nazikubari sana ngoja nijichange nikamtembelee
7ba274d2a836753fdb9ab5a35cb0bb21.jpg

Anapatikana wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom