Heheheee.. We chekaa..[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Utaonekana umepania shughuli bro, vaa tu shati, trou na tai...Hivi ukienda kutoa mahari ukivaa suti na tai siku hiyo kuna tatizo?
Usijali,kuna type Fulani ya suit nimeipenda nitakuwekea Picha hapaMkuu asante na endelea kubarikiwa umenirahisishia sana nikifika kwa fundi naenda na picha kabisa
Asante mkuuUsijali,kuna type Fulani ya suit nimeipenda nitakuwekea Picha hapa
Yeah linen, zinawatoa sana wanaumeLinen??
Dar blue ni fireeSijawah kupenda sut ya rangi ya blue kabisa!
Kwanza suti si kama nguo zingine ziendazo kwa msimu na hata fashion zake hudumu zaidi ya miaka mitano sasa hilo suala la rangi rangi lituache kwanza ushasikia mguo wenyewe unatembea kwa $2000 ukitaka suti shikamoo ya kibongobongo!Hizi habari za rangi za mwaka huwa siziwezi.
Asante sana mkuu umenisaidia sana