Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Muhasibu na ww unaishi daslamu kumbe?!!
 
Tunatofautisha vipi Dove Shower Gel original na ile feki?? Tunaomba ufafanuzi zaidi hapa....
 
Wese la nazi ni kilainishi kaka
 
Kuna namna mbaya sana ya maisha inakuja. Kutakuwa hakuna tofauti ya mwanaume na mwanamke. Mwanaume inakuwaje unakuwa na mafuta ya kupaka kiwiliwili?
 
Tunatofautisha vipi Dove Shower Gel original na ile feki?? Tunaomba ufafanuzi zaidi hapa....
Fake ni nyepesi haina povu hata harufu imepoa sana

Original ni nzito na harufu inashout
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…